Kuna kanuni ya kujuwa uzito stahiki wa mtu, lakini siikumbuki vizuri. Inahusisha umri na urefu ili kujuwa uzito wako unaotakiwa. Naomba mwenye kujuwa anijulishe. Asanteni sana.
Kumbuka kama wewe ni mwanamichezo inaweza kukuweka kwenye Underweight or Overweight category sababu wanakuwa na miili mikubwa au midogo kuliko kawaida. So take that into consideration.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.