Msaada: Uvimbe katika kidole cha mguu

Jun 16, 2016
27
30
Wana JF naombeni msaada juu ya hili.

Ni siku kadhaa zimepita toka nilipoanza kuvimba kidole cha mguu ghafla sijui ni kwasababu gani lakini kila siku kinavimba na kuuma. Je yaweza kuwa inasababishwa na nini na nifanye nini?

Msaada tafadhali!
 
Kwa suala lako, wahi hospitali ufanyiwe uchunguzi. Matatizo mengine yanaweza kusababisha /kusababishwa na cancer jambo ambalo ni hatari kabisa.
 
Huyo ni mdudu,akianza kuuma hutoweza hata kuomba ushauri hapa....uliza watu wazima watakusaidia.
 
maelezo yako hayajitoshelezi.

but kapime isije.ikawa kansa hiyo
 
Back
Top Bottom