Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,652
Uume hausimami kwamba ni hanithi au?Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri.
Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa uume wake umekua hausimami ata asubuhi akiamka tumejaribu kwenda hospital amepewa dawa lakini bado hazimsaidii
Jf doctor tunaombeni ushauri wenu atumie nini au aende hospital gani ili arudi katika hali yake ya kawaida?
Natanguliza shukrani za dhati,![]()