JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 122
- 95
System ya UTUMISHI portal inagoma sehemu ya kutaka kujaza kubadilishana kituo cha kazi.Mfano, mkoa wa kuhamia na idara.System inaandika DATA BASE ERROR.Kwa yeyote mwenye kutoa msaada wa namna ya kufanya data hizo zikubali ba kutumwa ili kuweza kubadilishana na watumishi wengine kituo cha kazi maana UTUMISHI wameonekana kuwarahisishia kazi watumishi.
Kama system haijakaa vyema kuruhusu program nyingine kufanyika ni vyema pia kufanya maboresho ya mfumo huu muhimu sana kwa watumishi.
Kama system haijakaa vyema kuruhusu program nyingine kufanyika ni vyema pia kufanya maboresho ya mfumo huu muhimu sana kwa watumishi.