Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 625
Habari wanajf. Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu kutumia digital multimeter ambayo haina sehemu maalum ya kuset kwenye uf (microfaraday) kwa kupima capacitor na kujua kuwa ni nzima au ni mbovu. Na pia hata jinsi ya kupima IC (Integrated Circuits) kwa kutumia hivyo vifaa.
Natanguliza shukrani kwenu.
Natanguliza shukrani kwenu.