Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 19,151
- 41,876
Sijasoma madaSi amesema mtoto wa ndugu yake?

Mkuu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mtoto mtukutu aweze kupona na awe mtoto mzuri .Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza.
Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa.
Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa mwenendo wake naona hata kidato cha pili hatoboi, dogo ana matukio ya ajabu sana na tumejitahidi kwa kila njia lakini imeshindikana ntaweka matukio yake kiufupi.
Mwanzo kabisa wakati yupo darasa la tano alikimbia nyumbani hapa, alitoka Pugu mpaka kinyerezi kwa mguu kwa madai hakupendi. Tulijua ni kwa sababu ya utoto tulimtafuta kama siku mbili na kwa msaada wa polisi tulimpata tukapiga kidogo tukaacha.
Akakaa sawa akanza tutesa na tabia ya udokozi wa hela ndogondogo na anakopeleka ni kwenye play station tukamshika tena tukapiga kwa kuhofia ataanza kudokoa hela kubwa kubwa lakin nikama ndo tulikuw tunachochea moto.
Baada ya hapo matukio ni mengi sana hapa katikati ila kwa hili alilofanya kipindi hiki ni hatari zaidi. Ameanza kidato cha kwanza vizuri na kwa matokeo mazuri tu ya shule ya msingi kuanzia mwezi wa 1 mpaka mwezi wa sita matokeo yalikuja mabovu sijawahi ona. Somo alilofaulu sana alikuwa na arobaini nalo ni Kiswahili hayo mengine ni 14, 4.
Aisee ndio kuchukua maamuzi kwenda shuleni kukuta taarifa mtoto ni mtoro sugu, siku alizoingia darasani zinahesabika na kila siku anapewa hela ya shule. Ndio kufatili kwa makini kumbe anashinda chimbo na jamaa yake ambao wanaacha begi na nguo za shule kwa huyo jamaa, wanavaa nguo za nyumbani waneenda ps muda wa kurudi shule wanapitia kwa jamaa anavaa kama alivyoondoka asubuhi na kurudi nyumbani.
Basi hapa tulimkamata, tulipiga sana nusu kuua mpaka Mwalimu Mkuu aliingilia kati akasema hapa amenyoka. Tukampa mwalimu wa kumfatilia walivofungua shule kama wiki mbili tu hivi nikaitwa shuleni kwamba mwanao amekodi wahuni wa mtaani waje kumpiga mwalimu.
Aisee hapa nilipatwa na hasira sana, nilimpiga kiganja kimoja cha maana ndio nikamwambia jieeleze, ndio kuniambia wale wahuni aliwanunulia packet tatu za sigara akawapa na hela ya bangi ili waje kumpiga mwalimu!
Nilikuw najiuliza huyu ni mtoto wa namna gani licha ya mimi utotoni kuwa mtundu lakini kwa huyu mtoto ni zaidi. Mwezi wa 11 nilimpa hela apeleke shule, yeye akala ile hela na alivyogundua nimejua hajapeleka hela shuleni akaja nyumbani akaingia chumbani kwangu akapekenyua hela akabeba elfu hamsini akakimbia, hajalala nyumbani siku mbili, tukamtafuta tukampata.
Tulimpa kipigo kikali, nina jamaa angu polisi nikampigia simu aje amchimbe mikwara, jamaa kweli alikuja mpaka nyumbani na gari ya polisi na badhi ya askari na kule kwenye gari kulikuwa na waharifu waliopigwa na wananchi wamechakaa damu wanapelekwa hospitali nikasema mbebeni na huyu kwa lengo la dogo aogope ajue kichapo kilivyo huko njee na biti za polisi.
Walizunguka nae wakamrudisha jioni hapa alikuwa mpole balaa mpaka kilichotokea hiki sasa mpaka hapa naandika huu uzi huyu mtoto kaiba laki moja na kakimbia toka jana.
Naombeni mnisaidie mbinu gani ni itumie kwa huyu mafia ili akae sawa, kama ni kipigo nimepiga mnoo, ushauri kapewa mpaka na wachungaji lakini bado.
Naona hili nisikio la kufa.
Lighano ni kisangaa hukoo, utadhani sio seminary vileHiyo Ligano nilikua naiskia wakati niko mbinga, sema sijawahi fika.. Maanake wajeshi wa Ruhuwiko hamna kitu ukilingalisha na huko.. mbona huko balaa
Huyo mtoto ana psychiatric disorder: conduct disorder. Labda psychiatrist/ psychologists wanaweza ku deal nae. Wapo muhimbili.Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza.
Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa.
Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa mwenendo wake naona hata kidato cha pili hatoboi, dogo ana matukio ya ajabu sana na tumejitahidi kwa kila njia lakini imeshindikana ntaweka matukio yake kiufupi.
Mwanzo kabisa wakati yupo darasa la tano alikimbia nyumbani hapa, alitoka Pugu mpaka kinyerezi kwa mguu kwa madai hakupendi. Tulijua ni kwa sababu ya utoto tulimtafuta kama siku mbili na kwa msaada wa polisi tulimpata tukapiga kidogo tukaacha.
Akakaa sawa akanza tutesa na tabia ya udokozi wa hela ndogondogo na anakopeleka ni kwenye play station tukamshika tena tukapiga kwa kuhofia ataanza kudokoa hela kubwa kubwa lakin nikama ndo tulikuw tunachochea moto.
Baada ya hapo matukio ni mengi sana hapa katikati ila kwa hili alilofanya kipindi hiki ni hatari zaidi. Ameanza kidato cha kwanza vizuri na kwa matokeo mazuri tu ya shule ya msingi kuanzia mwezi wa 1 mpaka mwezi wa sita matokeo yalikuja mabovu sijawahi ona. Somo alilofaulu sana alikuwa na arobaini nalo ni Kiswahili hayo mengine ni 14, 4.
Aisee ndio kuchukua maamuzi kwenda shuleni kukuta taarifa mtoto ni mtoro sugu, siku alizoingia darasani zinahesabika na kila siku anapewa hela ya shule. Ndio kufatili kwa makini kumbe anashinda chimbo na jamaa yake ambao wanaacha begi na nguo za shule kwa huyo jamaa, wanavaa nguo za nyumbani waneenda ps muda wa kurudi shule wanapitia kwa jamaa anavaa kama alivyoondoka asubuhi na kurudi nyumbani.
Basi hapa tulimkamata, tulipiga sana nusu kuua mpaka Mwalimu Mkuu aliingilia kati akasema hapa amenyoka. Tukampa mwalimu wa kumfatilia walivofungua shule kama wiki mbili tu hivi nikaitwa shuleni kwamba mwanao amekodi wahuni wa mtaani waje kumpiga mwalimu.
Aisee hapa nilipatwa na hasira sana, nilimpiga kiganja kimoja cha maana ndio nikamwambia jieeleze, ndio kuniambia wale wahuni aliwanunulia packet tatu za sigara akawapa na hela ya bangi ili waje kumpiga mwalimu!
Nilikuw najiuliza huyu ni mtoto wa namna gani licha ya mimi utotoni kuwa mtundu lakini kwa huyu mtoto ni zaidi. Mwezi wa 11 nilimpa hela apeleke shule, yeye akala ile hela na alivyogundua nimejua hajapeleka hela shuleni akaja nyumbani akaingia chumbani kwangu akapekenyua hela akabeba elfu hamsini akakimbia, hajalala nyumbani siku mbili, tukamtafuta tukampata.
Tulimpa kipigo kikali, nina jamaa angu polisi nikampigia simu aje amchimbe mikwara, jamaa kweli alikuja mpaka nyumbani na gari ya polisi na badhi ya askari na kule kwenye gari kulikuwa na waharifu waliopigwa na wananchi wamechakaa damu wanapelekwa hospitali nikasema mbebeni na huyu kwa lengo la dogo aogope ajue kichapo kilivyo huko njee na biti za polisi.
Walizunguka nae wakamrudisha jioni hapa alikuwa mpole balaa mpaka kilichotokea hiki sasa mpaka hapa naandika huu uzi huyu mtoto kaiba laki moja na kakimbia toka jana.
Naombeni mnisaidie mbinu gani ni itumie kwa huyu mafia ili akae sawa, kama ni kipigo nimepiga mnoo, ushauri kapewa mpaka na wachungaji lakini bado.
Naona hili nisikio la kufa.
Hapo kwa wapwani umetukosea SanaMwanangu alianza tabia ya kushinda kwa mtoto flani ambae niliskia tabia zake ni mbaya nilimwambia asiende kucheza mara 2 siku nikamkuta na yule mtoto aisee zile fimbo haji kusahau... imefika point nikirudi nyumbani akinisalimia anasema leo sijaenda kwa kina flani baba na kweli hata akimuona yule mtoto hataki kabisa kucheza nae ni jamii ya watoto wa pwani wazazi wake matusi ni kama chakula sasa na mtoto wao kawa hivyo.
Basi wajaribu kmpeleka huko, ila shule za hivi watoto wakiume wakitoka hapo wanakua mazoba sana, haipendezi🤣🤣🤣Lighano ni kisangaa hukoo, utadhani sio seminary vile
Jibu sahihi kabisa....hiyo ndiyo sahani yakePole sana ila huyo ashakuwa panya road muache dunia itamfunzaaa...!!
Kakobe yupi? Yule mtukutu aliyewagomea tanesco ingali anatumia umeme wao? Kakobe huyuhuyu aliyeufyata enzi ya mwendazake baada ya kuulizwa vyeti vya kuzaliwa vya babu zake?Mpeleke kwa kakobe akaombewe mkuu! Huyo sio yeye ni roho chafu za mashetani zinamsumbua! Akiombewa atakuwa vzr kbisa
Inaitwa Lugalokuna shule moja ikogo iringa ni ya watoto walioshindikana siikumbuki jina nadhani hiyo ingemfaaa
Kweli aisee pale JKT KAWAWA Mafinga alipelekwa mdogo wetu alirudi anaamkia mpaka kukuMpelekeni shule za boarding zinazomilikiwa na JWTZ mhula mmoja tu anarudi kanyooka na anasali hata akienda haja ndogo kuna shule ipo iringa nyingine ipo Tabora tafuta majina ya hizo shule utakuja kushukuru badae
Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza.
Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa.
Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa mwenendo wake naona hata kidato cha pili hatoboi, dogo ana matukio ya ajabu sana na tumejitahidi kwa kila njia lakini imeshindikana ntaweka matukio yake kiufupi.
Mwanzo kabisa wakati yupo darasa la tano alikimbia nyumbani hapa, alitoka Pugu mpaka kinyerezi kwa mguu kwa madai hakupendi. Tulijua ni kwa sababu ya utoto tulimtafuta kama siku mbili na kwa msaada wa polisi tulimpata tukapiga kidogo tukaacha.
Akakaa sawa akanza tutesa na tabia ya udokozi wa hela ndogondogo na anakopeleka ni kwenye play station tukamshika tena tukapiga kwa kuhofia ataanza kudokoa hela kubwa kubwa lakin nikama ndo tulikuw tunachochea moto.
Baada ya hapo matukio ni mengi sana hapa katikati ila kwa hili alilofanya kipindi hiki ni hatari zaidi. Ameanza kidato cha kwanza vizuri na kwa matokeo mazuri tu ya shule ya msingi kuanzia mwezi wa 1 mpaka mwezi wa sita matokeo yalikuja mabovu sijawahi ona. Somo alilofaulu sana alikuwa na arobaini nalo ni Kiswahili hayo mengine ni 14, 4.
Aisee ndio kuchukua maamuzi kwenda shuleni kukuta taarifa mtoto ni mtoro sugu, siku alizoingia darasani zinahesabika na kila siku anapewa hela ya shule. Ndio kufatili kwa makini kumbe anashinda chimbo na jamaa yake ambao wanaacha begi na nguo za shule kwa huyo jamaa, wanavaa nguo za nyumbani waneenda ps muda wa kurudi shule wanapitia kwa jamaa anavaa kama alivyoondoka asubuhi na kurudi nyumbani.
Basi hapa tulimkamata, tulipiga sana nusu kuua mpaka Mwalimu Mkuu aliingilia kati akasema hapa amenyoka. Tukampa mwalimu wa kumfatilia walivofungua shule kama wiki mbili tu hivi nikaitwa shuleni kwamba mwanao amekodi wahuni wa mtaani waje kumpiga mwalimu.
Aisee hapa nilipatwa na hasira sana, nilimpiga kiganja kimoja cha maana ndio nikamwambia jieeleze, ndio kuniambia wale wahuni aliwanunulia packet tatu za sigara akawapa na hela ya bangi ili waje kumpiga mwalimu!
Nilikuw najiuliza huyu ni mtoto wa namna gani licha ya mimi utotoni kuwa mtundu lakini kwa huyu mtoto ni zaidi. Mwezi wa 11 nilimpa hela apeleke shule, yeye akala ile hela na alivyogundua nimejua hajapeleka hela shuleni akaja nyumbani akaingia chumbani kwangu akapekenyua hela akabeba elfu hamsini akakimbia, hajalala nyumbani siku mbili, tukamtafuta tukampata.
Tulimpa kipigo kikali, nina jamaa angu polisi nikampigia simu aje amchimbe mikwara, jamaa kweli alikuja mpaka nyumbani na gari ya polisi na badhi ya askari na kule kwenye gari kulikuwa na waharifu waliopigwa na wananchi wamechakaa damu wanapelekwa hospitali nikasema mbebeni na huyu kwa lengo la dogo aogope ajue kichapo kilivyo huko njee na biti za polisi.
Walizunguka nae wakamrudisha jioni hapa alikuwa mpole balaa mpaka kilichotokea hiki sasa mpaka hapa naandika huu uzi huyu mtoto kaiba laki moja na kakimbia toka jana.
Naombeni mnisaidie mbinu gani ni itumie kwa huyu mafia ili akae sawa, kama ni kipigo nimepiga mnoo, ushauri kapewa mpaka na wachungaji lakini bado.
Naona hili nisikio la kufa.
Au ndiyo aliambiwa jibebe?!Kwakweli mwenyewe hata nashindwa kuelewa kilitokea Nini, maana baada ya kelele kuzidi nyumbani Baba aliondoka nae walienda nae kwa baba zake wakubwa na wadogo huko after one month walirudi akiwa mtulivu Hadi siku anaenda shule Yuko smart.. Hakuna aliyetuambia Nini kilifanyika, sio Mzee Wala dogo mwenyewe 😃😃😃.. Ila huko alikoenda wote ni wanajeshi nadhani walimnyoosha vizuri Sana 😂😂🙌