Habari wanajamvi
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)
Naomba kujuzwa wakuu
Ahsanten
Chuo haendi mkuuChuo anaenda ila kupata kozi anazozitaka ndo mtihan
Chuo haendi mkuu
Mkuu ili uende chuo now unatakiwa uwe na angalau cut point4 yaani DDYupi teena haend chuo mkuu mbona unakuja kunipagawisha teeena... Mi nataka nimkabidh mtu eneo
Exactly, mwambie aangalie appeal ya form four mwaka huu ndo atajifunzaYou will be wasting your time and money,
Process ya Marking Necta iko so accurate kuliko unavyodhani,
Possibility ya kushinda appeal ni 0.00001%
Trust Me.
Mkuu ili uende chuo now unatakiwa uwe na angalau cut point4 yaani DD
Mkuu ili uende chuo now unatakiwa uwe na angalau cut point4 yaani DD
Yap... Uyo ninayemsema mim hadi jamaa akasema anaenda ana matokeo haya.
Hkl
Gs - E
Hidtory - S
Kisw - D
Lang - D
Nikauliza inakiwaje chuo ni uhakika au magumashi... Na nikaskia kuna ushindan wa kozi .. Nikauliza kozi zipi kwa ufaulu huo hazina ushindan??
Atleast two principal pass, point 4 si kigezo cha mwisho.Mkuu huyo muulize kuwa haend kwa kigezo kipi maana muhimu huwa ni pointi 4 katika masomo mawili tu
Mkuu achana nae ngoja TCU watoe guidebook then itajulikana asome nn.
Kigezo cha mwisho ni kipi mkuu?Atleast two principal pass, point 4 si kigezo cha mwisho.
Mkuu acha ubishi mambo yashabadilika, then acha matusi kubali kuelewa na kuelimishanaFicha ujinga wako hujui chochote umekaririshwa D mbili tu....iko hv TCU wanaangalia cttng pointi ambazo huwa ni 4
A 5
B 4
C 3
D 2
E 1
S 0.5
F 0
hesabu rahisi imebaki apo angalia grade ya masomo then add hzo cttng point C na E vijana wanapiga nachela zao vzr tu
Chuo haendi mkuu
Ndicho ninachojua kwa Sasa, namuona jamaa baada ya kuandika anakuja na matusi tenaChuo wanataka 'D' mbili na hapo hana kwahiyo atafute utaratibu mwingine tu.
Ficha ujinga wako hujui chochote umekaririshwa D mbili tu....iko hv TCU wanaangalia cttng pointi ambazo huwa ni 4
A 5
B 4
C 3
D 2
E 1
S 0.5
F 0
hesabu rahisi imebaki apo angalia grade ya masomo then add hzo cttng point C na E vijana wanapiga nachela zao vzr tu
Yupi teena haend chuo mkuu mbona unakuja kunipagawisha teeena... Mi nataka nimkabidh mtu eneo
Ndicho ninachojua kwa Sasa, namuona jamaa baada ya kuandika anakuja na matusi tena