safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
Hizo ni jazba za mitihani tu mkuu baada ya mwezi zitaisha utaangalia mambo mengine.
Kuna ilr kutaka kuwaaminisha watu kwamba wamekosea kusahihisha na wala hukustahiki kupata ulichopata.
Kumbe wakati huo watu wanakucheka wanasema hiiiiiiii iiiiii huyu tunamjua alikuwa zembeee
Kuna ilr kutaka kuwaaminisha watu kwamba wamekosea kusahihisha na wala hukustahiki kupata ulichopata.
Kumbe wakati huo watu wanakucheka wanasema hiiiiiiii iiiiii huyu tunamjua alikuwa zembeee
Habari wanajamvi
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)
Naomba kujuzwa wakuu
Ahsanten