Msaada utaratibu wa kurudia kusahihishiwa upya mtihani kidato cha sita

safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,566
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,566 2,000
Hizo ni jazba za mitihani tu mkuu baada ya mwezi zitaisha utaangalia mambo mengine.

Kuna ilr kutaka kuwaaminisha watu kwamba wamekosea kusahihisha na wala hukustahiki kupata ulichopata.

Kumbe wakati huo watu wanakucheka wanasema hiiiiiiii iiiiii huyu tunamjua alikuwa zembeee
Habari wanajamvi

Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)

Naomba kujuzwa wakuu

Ahsanten
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,814
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,814 2,000
Wakirudia marking anaenda kupata div IV kama sio zero kabisa. Bora uache maana utapoteza pesa bure.
Mock exams kwa asilimia 95 haziwezi kutabiri matokeo ya Necta.
 
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
2,560
Points
2,000
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
2,560 2,000
You will be wasting your time and money,
Process ya Marking Necta iko so accurate kuliko unavyodhani,
Possibility ya kushinda appeal ni 0.00001%
Trust Me.
Exactly, mwambie aangalie appeal ya form four mwaka huu ndo atajifunza
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,229
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,229 2,000
Yap... Uyo ninayemsema mim hadi jamaa akasema anaenda ana matokeo haya.

Hkl
Gs - E
Hidtory - S
Kisw - D
Lang - D

Nikauliza inakiwaje chuo ni uhakika au magumashi... Na nikaskia kuna ushindan wa kozi .. Nikauliza kozi zipi kwa ufaulu huo hazina ushindan??
Mkuu ili uende chuo now unatakiwa uwe na angalau cut point4 yaani DD
 
HiDEmYiD

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Messages
656
Points
1,000
HiDEmYiD

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2018
656 1,000
Ficha ujinga wako hujui chochote umekaririshwa D mbili tu....iko hv TCU wanaangalia cttng pointi ambazo huwa ni 4
A 5
B 4
C 3
D 2
E 1
S 0.5
F 0
hesabu rahisi imebaki apo angalia grade ya masomo then add hzo cttng point C na E vijana wanapiga nachela zao vzr tu
Mkuu ili uende chuo now unatakiwa uwe na angalau cut point4 yaani DD
 
HiDEmYiD

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Messages
656
Points
1,000
HiDEmYiD

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2018
656 1,000
Mkuu achana nae ngoja TCU watoe guidebook then itajulikana asome nn.
Yap... Uyo ninayemsema mim hadi jamaa akasema anaenda ana matokeo haya.

Hkl
Gs - E
Hidtory - S
Kisw - D
Lang - D

Nikauliza inakiwaje chuo ni uhakika au magumashi... Na nikaskia kuna ushindan wa kozi .. Nikauliza kozi zipi kwa ufaulu huo hazina ushindan??
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,229
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,229 2,000
Hivi guide book ya TCU huwa inaelezea pass zako na aina gani za kozi unaweza enda au inaelezea nin?
Mkuu achana nae ngoja TCU watoe guidebook then itajulikana asome nn.
 
savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
381
Points
1,000
savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
381 1,000
Ku appeal ni kupoteza pesa zako tu. Mdogo wangu hiyo mock alipata division 1 alikuwa pcb ila necta alipata zero mpaka headmaster wa shuleni kwao akapatwa na mshangao and she was bright, while marafiki zake wote kwenye discussion group lao walipata division 1 na 2 ni mmoja tu ndio alipata 3! Tulijaribu kuappeal ila F zilibaki palepale nothing changed. Wew kikubwa angalia mambo mengine tu muendelee mbele, marking za necta zipo accurate kuliko hata unavyofikiria mkuu!!
 
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,248
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,248 2,000
Ficha ujinga wako hujui chochote umekaririshwa D mbili tu....iko hv TCU wanaangalia cttng pointi ambazo huwa ni 4
A 5
B 4
C 3
D 2
E 1
S 0.5
F 0
hesabu rahisi imebaki apo angalia grade ya masomo then add hzo cttng point C na E vijana wanapiga nachela zao vzr tu
Mkuu acha ubishi mambo yashabadilika, then acha matusi kubali kuelewa na kuelimishana
 
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,248
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,248 2,000
Chuo wanataka 'D' mbili na hapo hana kwahiyo atafute utaratibu mwingine tu.
Ndicho ninachojua kwa Sasa, namuona jamaa baada ya kuandika anakuja na matusi tena
 
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,764
Points
2,000
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,764 2,000
Ficha ujinga wako hujui chochote umekaririshwa D mbili tu....iko hv TCU wanaangalia cttng pointi ambazo huwa ni 4
A 5
B 4
C 3
D 2
E 1
S 0.5
F 0
hesabu rahisi imebaki apo angalia grade ya masomo then add hzo cttng point C na E vijana wanapiga nachela zao vzr tu

Mkuu wewe ndo huelewi kabisa mtu anaweza akiwa na CEE chuo haendi kabisa ,ni kweli hapo ukijumlisha point zinazid nne lakini kuna kitu hiki
" Two principal passes"


Lazima uwe na ufauli kwenye masomo mawili pia hata kama ana point nne,

Unaweza ukawa na AEE na chuo huende ,wao wanataka ufaulu wa masomo mawali yenye ufaulu ambao minimum point yake iwe kuanzia 4.0 .kwahiyo usitukane tu .Huyo dogo chuo haendi kwa matokeo yake hayo.
 
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,764
Points
2,000
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,764 2,000
Ndicho ninachojua kwa Sasa, namuona jamaa baada ya kuandika anakuja na matusi tena
Huo ndo ukweli mtu anaweza kuwa na AEE na chuo akakisikia kwenye redio,,


"Two principal passes" hapo hawaelewagi kabisa wako madogo wana two za 11 na 12 na chuo hawaendi kabisa. Mambo yamebadilika kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,316,115
Members 505,494
Posts 31,879,495
Top