Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 7,858
- 67,293
Ilibidi dogo atumie cheti cha form four kuomba diploma tu!Dah poleni sana kwa Hilo janga.
Kwa hiyo mlifanyaje baada ya hapo?
Ilibidi dogo atumie cheti cha form four kuomba diploma tu!Dah poleni sana kwa Hilo janga.
Kwa hiyo mlifanyaje baada ya hapo?
Kozi gani hapo ajaribu kuziomba kulingana na ufauru wake.... Market za ajira zisikupe shida mi nataka aue aje kupiga biashara zake tu.... Kile kichwa sio cha kuajiriwa anaweza akafia jela kuitia hasara kampuni
Oya mkuu chimbo gan halina competition hapo nataka nilete dogo janja... Aje kuongeza uzito kidogoMm nimemaliza mwaka 2017 na matokeo yangu yalikuwa CEF na ninapiga degree yangu safi tu hapa Mwalimu Nyerere