Sarafina1 Senior Member Joined Mar 28, 2011 Posts 153 Reaction score 85 Aug 29, 2013 #1 Wakuu natumaini mu wazima, Natafuta mashine za kutengeneza vifuko vya plastik vile vinavyofungia ubuyu, barafu, ice cream home made etc kwa anaejua zinapatikana wapi dar na bei anisaidie tafadhali
Wakuu natumaini mu wazima, Natafuta mashine za kutengeneza vifuko vya plastik vile vinavyofungia ubuyu, barafu, ice cream home made etc kwa anaejua zinapatikana wapi dar na bei anisaidie tafadhali