misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,204
- 10,016
Salaam wana jf naomba nianze kutoa maelezo kidogo.
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne(4yrs) mwaka wa jana alikuwa baby class na maendeleo yake shuleni yalikuwa mazuri tu.
Lakini cha kushangaza mwaka huu ameingia pre-unit maendeleo yake yamekuwa hafifu na sio yakuridhisha hadi ikafikia mama yake akaenda shule kujadiliana na walimu.
Sasa ninachotaka kushauliwa kati kati ya mwezi wa kwanza binti yangu alipata shock ya umeme hadi mkono wake ulichanika kidogo ikatupelekea tukampeleka hospital.
Wakampatia matibabu tukarudi nyumbani kuendelea kuuguza majeraha,sasa alivyorudi shule tu amekuwa tofauti kabisa kwenye maendeleo yake ya shule yaani hayaridhishi.
Na hadi tumefikia makubaliano na shule kama hali yake ikiendelea hivi hivi watamrudisha baby class.
Naombeni ushauri nifanya nini??