Msaada ushauri Vodacom bunldes (mb) V6?

Msaada ushauri Vodacom bunldes (mb) V6?

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
808
Reaction score
650
Naombeni kujulishwa kwa wale wataalam wa IT mbona bundle ya Vodacom inaisha haraka kuliko ya Halotel. Nimetumia line ya halotel kwa miezi mitatu sasa nikinunua mb 500 ambazo zinaisha kwa muda wa siku nzima.
Juzi naona mtandao wa halotel upo slow sana sijui wamekumbwa na maswaibu gani, nikahamua kushift kwenda mtandao wa voda.

Sasa tangu jana nimeshatumia mb 3,000 Ndo napatashaka labda kutumia voda kwenye Internet consumption ya mb ni sawa na mtu anayeendesha gari yenye injini ya V8 kama yale mashangingi au tofauti ipo wapi mbona mb zake zinaisha kasi sana kuliko za halotel
 
Ni kweli kabisa bundle za Voda zinaisha haraka kuliko mitandao mingine sijui shida ni nini!
 
Hata mie nimewapigia salute wanajitahidi kula mb hatari mi nimesha wahama kitambo
 
Halotel kwangu inazingua wiki inapita sasa sijui wamewahack
 
Download na upload speed ni slow sana nikilinganisha siku zilizopita
 
mkuu mb haziendi nyingi ila ni internet tu ina speed. jifundishe namna ya kumanage mb zako na ni vyema ukawa na firewall ili ujue kila app inakulaje hizo mb na ujifundishe kublock app usizotaka zitumie internet ovyo.
 
Naombeni kujulishwa kwa wale wataalam wa IT mbona bundle ya Vodacom inaisha haraka kuliko ya Halotel. Nimetumia line ya halotel kwa miezi mitatu sasa nikinunua mb 500 ambazo zinaisha kwa muda wa siku nzima.
Juzi naona mtandao wa halotel upo slow sana sijui wamekumbwa na maswaibu gani, nikahamua kushift kwenda mtandao wa voda.

Sasa tangu jana nimeshatumia mb 3,000 Ndo napatashaka labda kutumia voda kwenye Internet consumption ya mb ni sawa na mtu anayeendesha gari yenye injini ya V8 kama yale mashangingi au tofauti ipo wapi mbona mb zake zinaisha kasi sana kuliko za halotel

Mimi nahisi voda wanafanya hivi:
Ukitumia KB 500 , hivi wao wanaKadiria kuwa ni MB1,.
 
Back
Top Bottom