Msaada ushauri; smart phone ya kununua

Msaada ushauri; smart phone ya kununua

Ebu kijana sema budget yako na matumizi yako aswaa katika simu. Unaweza ongeza na vitu.kama OS na screen size, hafu utajiwe madude hapa.
 
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.

Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.

Mbona inaonekana unataka kurudia kosaa ? Ulinunua Lumia

Please kwa mnaoelewa mnijuze

Asanteni.


Mbona unataka kurudia kosa bro John ? Umenunua Nokia Lumia umetumia kwa miezi 6 tu imeharibika button ..! au ulinunua used kwa mtu ? kama ni dukani mbona hilo tatizo linakuwa covered na warranty ? Nunua kwenye maduka ya kuaminika mkuu, sikuizi unapewa mpaka warranty ya miaka 2 , nenda kwa mawakala MIDCOM au kwa ma agents wao akina Foneshack,etc wapo kila sehem Dar,Mwanza, Arusha, Moshi unapewa 2 yrs warranty..
 
Ipo iphone 5


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom