Msaada ushauri; smart phone ya kununua

Msaada ushauri; smart phone ya kununua

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,310
Reaction score
1,466
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.

Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.

Please kwa mnaoelewa mnijuze

Asanteni.
 
Msiwe wavivu mnapokuwa na shida hum kuna nyuzi NYINGI sana zakuhusu ubora wa sim hasa kuna uzi wanye kusifia smart phone inayokaa zaidi mda mrefu na chaji.

mm nimesahau cjui ni aina gani ya sim kwakuwa ww nimvivu ngoja tukutafutie then tukuwekee .
chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa mtu ukawa hukupitia hizo thread. Ukinipa link utakuwa umesaidia
Msiwe wavivu mnapokuwa na shida hum kuna nyuzi NYINGI sana zakuhusu ubora wa sim hasa kuna uzi wanye kusifia smart phone inayokaa zaidi mda mrefu na chaji.

mm nimesahau cjui ni aina gani ya sim kwakuwa ww nimvivu ngoja tukutafutie then tukuwekee .
chief-mkwawa
 
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.

Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.

Please kwa mnaoelewa mnijuze

Asanteni.

Tecno ndio mkombozi wako, huta juta.
 
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.

Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life. Japokuwa smart phone zina matatizo ya kuisha betri haraka lakini naamini ziko zenye unafuu.

Please kwa mnaoelewa mnijuze

Asanteni.
Lumia 625 tsh 470000
 
iPhone iko juu, utaifananisha na ipi sasa?
Mimi ninayoitumia ni Mwaka wa Tatu sasa sijabadilisha battery wala Kioo.....
 
[QUOT E=LOOOK;9449638]Umampotosha mwenzio iphone miaka hii huku kwenu ni kidudu mtu.[/QUOTE]
Haya kaka Kama nampotosha, mpe wewe sasa aina!!!!
 
Battery za siku hizi ni aina tofauti na za zamani. Na matumizi ni mengi so ushauri mzuri wa battery kukaa muda mrefu ni kuchaji simu na sio kusubiria battery kuisha kama za zamani. Ukiachia iwe inaisha ndio unachaji hapo ndio unaua battery. Hata ikiwa nusu jazia...
 
Asante kwa ushauri, vipi kuhusu battery life?
iPhone iko juu, utaifananisha na ipi sasa?
Mimi ninayoitumia ni Mwaka wa Tatu sasa sijabadilisha battery wala Kioo.....
 
Inaelekea hilo ni tatizo sugu la lumia, nilienda midcom juzi kati wakakubali kuwa hilo ni tatizo kubwa kwasababu sasa hivi simu nyingi zinarudishwa pale likiwa na hlo tatizo. Hata mimi limenikumba
 
Back
Top Bottom