Msaada / ushauri :malaya,vibuti nimechoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada / ushauri :malaya,vibuti nimechoka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bodachogo, Oct 17, 2011.

 1. b

  bodachogo Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kujichua ni mwaka wa tatu sasa nimeshindwa kuacha,nimejaribu kwa kipindi kirefu lakini nimeshindwa,kufanya ngono na prostitutes imekuwa kawaida,maisha yangu yamekuwa ya upweke sana pamoja na bidii kubwa ya kutongoza kwa maneno na vitendo wengi wameishia kunifanya kuwa rafiki tu, kutoswa na mademu kama nimechanjiwa hivi.I am so lonely,sina wa kunisapot au kuniliwaza,pamoja na kuwa na uwezo kidogo,simuhitaji mtu wa kuwa na mimi kwa sabab ya uwezo wangu, Elimu nina degree ya computer science na nimejiajili hapa Mbeya. Tatizo langu kwa hawa akina dada sielewi ni nini,kiukweli sura na umbo vinaridhisha.Ni miaka mitatu sasa kila napogusa ni kibuti. Nimekata tamaa na habari ya mapenzi,nahisi ni kitu ambacho haki-exist,sijui nina mkosi gani. Nafeel insecure hata kuapproach,huzuni hii ya kuwa lonely inanifanya nionekane five years plus my actual age. Wasichana zaidi ya 12 wote nimekula vya mbavu nahisi kama nimerogwa au cjui kwa sabab sidanganyi.,from decent girls mpaka micharuko. Hali hii ya kuwa lonely na nyeto ilinathiri kisaikolojia kiasi kwamba kimasomo ckuweza kuperform kwa uwezo nilionao,
  Wasichana nilio-approach wengi waliniambia they are nt ready to date,after few days nawakuta wana-date na watu ambao kwa mtazamo wa nje wa haraka haraka ni inferior to me (sina lengo la kumshusha mtu ,ni mtazamo tu unaoongozwa na hisia za kibinaadamu)
  Naombeni ushauri:-
  Nifanyeje na mimi nionje ladha ya kupendwa hata mara moja halafu nitendwe nisitamani kupenda tenaaaa,
  Nsingependa kurudi kwa prostitutes kwani ni maisha ambayo yananifanya nijihisi hatia daily.
  Natamani niache kujichua ,nimechoka na hali hii
  Msaada wa haraka ndugu zangu
   
 2. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  duh! naona umrudie tu muumba wako mana yy ndio anaweza kukupa msaada wa fasta zaidi
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aibu....kazi kweli kweli. sasa kaka wwe naona itabidi uendelee na kujichua tuu...na kuhusu malaya dnt fel guilty...tena malaya ni safer kiuchakachua kuliko relationship gf.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hivi umu jf watu wengi wanapiga nyeto eh!? maana kuna sredi kibao za hii kitu
   
 5. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Du kazi kweli kweli!
   
 6. u

  utantambua JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wako yupo njiani, siku utakapokutana nae utakuja shangaa mwenyewe itakavokua rahisi kama kumsukuma mlevi.
   
 7. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jichue tu mkuu, hawana mesheni wengi wao!!
   
 8. P

  Proud Patriot JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Please... At least try to be human, help him be as PERFECT as you are.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ah haaa haaaaa haaaa anakua anatemebea ka ana kibihongo huku mkono wa kulia kakunja vidole mana vinakua vishazoea kaa hivyo
   
 10. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole ndugu yangu,ni-PM nikupe tips kidogo!
   
 11. b

  bodachogo Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanx for your consideration lakini mkuu just write everything here kwa sababu nawakilisha maumivu ya wengi wanaoumia mioyoni tu bila kupaza sauti zao.
  Ningependa kupata ushauri wa wazi kabisa.
   
 12. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ushauri wangu ni huu. Tulia, fanya mambo zako kiustaarabu, usiwapapatikie wasichana, Mpe Mungu maisha yako. Kama wewe ni Mkiristo jiunge na vikundi vya kanisa kama kwaya na jumuiya, kama ni Muislamu hali kadhalika shiriki shughuli za dini. Baada ya muda mfupi utanipa matokeo. Mungu akutangulie.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  humu ndani kwa punyeto. Sijui lianzishe jukwaa lao?
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Cha kufanya ni ww kuacha kwanza hiyo tabia ya kujichua,then waone wanasaikologia wakusaidie uwe sawa kisaikologia,then mwombe mungu akukutanishe na aliye wako wa maisha na utafurahia mapnz!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo mpenzi wako wa dhati mpaka sasa ni mkono wako mkuu?
  Umeshakuwa addicted miaka mitatu siyo mchezo!
   
 16. s

  slym Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :eyebrows: :lol: tuwasikilize na mademu kidogo kuna punyeto za hali ya juu humu ndani
   
 17. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole mkaka! njoo ufanyiwe maombi! unapepo chafu la PUNYETO
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  nyeto nzuri sana kwanza hupati ukimwi na gharama yake ni sabuni ay KY tu
   
Loading...