Msaada/Ushauri kupata bidhaa kutoka india

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
2,600
Reaction score
6,745
Habari wanajukwaa,
Rejea kichwa cha habari, wakuu nina shida ya bidhaa fulani kutoka india, ni raw materials zipo katika liquid form, ila zimepakiwa kwenye galons na zinauzwa kwa kilograms, ambapo zipo 1kg na 20kg, changamoto niliyokumbana nayo ni namna ya kuzipata kwa maana ya kuzinunua na kuzisafirisha, nimejaribu kuwasiliana na wauzaji ila wao kusafirisha nje ya india inaonekana ni ngumu kwao.
Nikasema nitafute cargo forwarders nikafanya mawasiliano na kampuni mbili tatu ili wanunue then wazi forward TZ ila mkwamo ukaja hawawezi ship liquid items kwasababu wanatumia usafiri wa ndege na pia gharama zao zilikua juu sana kwa uzito wa bidhaa husika.

Swali je nawezaje pata hizi materials ninazohitaji kwa njia rahisi?

Nimefikiria kutumia sea freight shipping, ila sasa mlolongo wa kununua na kupeleka kwa hawa ma agents wa usafiri majini ndipo nakwama.
Je zipo kampuni za zinafanya hiyo kazi niwape details za materials ninazo taka then watamaliza kilakitu mpaka mzigo wangu kunifikia hapa TZ?
Naomba mchango wa mawazo na ushauri kwa wenye uzoefu na sea freight.

NB;
Material ninazo hitaji si kubwa kiwango cha kujaza container, ni kama madumu mawili au matatu hivi ya lita 20.
Natanguliza shukrani.
 
Mbona hujasema bidhaa ni ya nini? Mafuta, maji, maji ya matunda, nk.
 
Kabla mzingo huja ununua wasiliana na mamlaka ya TBS/TFDA wakupe vibali kwanza vya kusafirishia huo mzingo kwanza, usije ukaishia jela na mzingo kupelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali kuufanyia uchunguzi
 
Back
Top Bottom