Wanajukwaa habari za saa juzi? Naombeni ushauri kwa wenzangu mlio na uzoefu na gereji za wachina hapa Dsm. Ni gereji gani nzuri kwa unyooshaji wa gari iliyopata ajali ya kupinduka ? Vigezo vya uzuri ni kama ifuatavyo;
-Unyooshaji mzuri wa body
-Uharaka wa kazi
-Uaminifu wa kutunza gari na vilivyomo
Ni matumaini yangu mtanisaidia. Natanguliza shukran zangu...
Spring city wako bien
Ni lazima wachina tu? Nasikia kuna singasinga yupo somewhere Chang'ombe/Keko
Spring city wako bien
Nawashukuru wote; muuza sura,marxlups,mnhk, master plan na mshana Jr. Nafanyia kazi suggestions zenu..
Wanajukwaa habari za saa juzi? Naombeni ushauri kwa wenzangu mlio na uzoefu na gereji za wachina hapa Dsm. Ni gereji gani nzuri kwa unyooshaji wa gari iliyopata ajali ya kupinduka ? Vigezo vya uzuri ni kama ifuatavyo;
-Unyooshaji mzuri wa body
-Uharaka wa kazi
-Uaminifu wa kutunza gari na vilivyomo
Ni matumaini yangu mtanisaidia. Natanguliza shukran zangu...
Wanachakachua spare na rangi yao haidumu na Hii hali yetu ya joto ndo kabisaa
Karibu mkuu...ingekuwa maland rover 109 kuna mzee wa kichaga yupo kinondoni manyanya maeneo ya pachoto. .kashindikana