MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

...la la la hasha! ha ha ha, mimi nimekupa ushauri tu...si unajua "jina linaumba?"

...jina la Gallus litakuletea kesi nyingi toka kwa mkwe siku za usoni. Kwa kiswahili chetu cha pwani, tafsiri yake ni kijogoo! he he he!

mkulu baba yake ni vile vile ndo maana anaitwa "THE KING" hapa....
 
NameMeaningGahijiThe hunter, GaikaA gifted wood carver ,GambaA warrior GamboA boy born after twins,GanyanaBorn with the gift of patience, GaraiBe settled ,GarrettBrave Spear, GarySpear carrier ,GataTo be strong ,GeneWell born ,GeorgeA tiller of the soil NameMeaningGinikanwaPrecious ,GoahShield ,GoatsemodineGod knows ,GogoHe is like grandfather ,GoredennaBlack cloud GowonRainmaker ,GrantGreat ,Gregory (Greg) VigilanteGuyExcited, happy, hyper ,GyasiWonderful
 
Mi nitakusaidia jina la utotoni la kilugha si unajua kwetu mtoto lazima apewe majina mawili la kanisani la kilabuni.

Hayo ya kizungu angali lisije kuwa jina gumu mpaka akina bibi wakashindwa kutaja.
 
Mi nitakusaidia jina la utotoni la kilugha si unajua kwetu mtoto lazima apewe majina mawili la kanisani la kilabuni.

Hayo ya kizungu angali lisije kuwa jina gumu mpaka akina bibi wakashindwa kutaja.
noted mkuu~
hebu nipe hilo la mtipule basi
 
Kifupi chake inakua Roy.....na baade atakua st. roy....perfect....
Teamo copy this...

Roy jina rahis kutamka bana....Gilroy...fupisha ita Roy....jina safi linatamkika hata na kibogoyo..
hehehe!
mtoto wangu nataka awe ''msafi''
wakati mwingine ni hatari sana kumpa jina mtoto la mtu ambaye ni ''fisadi''
 
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth

jamani Smiles.....sasa mnataka wengine tuyatamkaje hayo majin ajamani, mnataka kutupa kwikwi za uzeeni? cjajua kutamka hata limoja, sasa babu wa moshi hapo ndio kaisha kabisa.
 
jamani Smiles.....sasa mnataka wengine tuyatamkaje hayo majin ajamani, mnataka kutupa kwikwi za uzeeni? cjajua kutamka hata limoja, sasa babu wa moshi hapo ndio kaisha kabisa.
Hapo inabidi babu na bibi wawe na meno yote mdomoni ndo watatamka vizuri
 
huyu baba mtarajiwa ina maana hajapata jina tu mpaka sasa?

Hadi akacheki na mhusika 😛reggers: kwanza...
Hivi anayepaswa kuamua jina la mtoto wa kiume ni nani?? na wa kike??
Well, me decide majina ya watoto wote wa kiume and she decides wa kike...
 
Jina lina maana kubwa sana kwa mtu, Unataka tuchague kati ya uliyoya ainisha tu au tukupe na mengine yaanziwayo na G?
 
jamani Smiles.....sasa mnataka wengine tuyatamkaje hayo majin ajamani, mnataka kutupa kwikwi za uzeeni? cjajua kutamka hata limoja, sasa babu wa moshi hapo ndio kaisha kabisa.

Jamani sweetness mbona hayo majina marahisi hivyo....
Usijali ukishindwa tutaandaa course fupi kwa ajili ya kufundisha jinsi ya kutamka....:becky:
 
Back
Top Bottom