MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

bwana, tutaficha makucha yetu, lakini tukitoka hapo mpambano unaendelea.....mie nimeshaanza kuchagua chirimeni ya kuvaa

Ile suti yangu ya harusi nyekundu yenye michirizi ya njano kwenye mikono na blue kwenye mifuko haitotutoa fresh? Au nitinge kaunda suti shong'lai?
 
No no no no no no sijamaanisha umwite Generation-Y, ila linaanza na G....Aspirin akipata tenda ya kusimamia ubatizo, mimi ntakua mkuu wa jiko upande wa uchomaji....
 
heheh!wajameni ninapenda sana majina yenu!
nyamayao naona umeanza kubadilisha kauli kwamba ''siku zinakimbia'':thumb:
 
No no no no no no sijamaanisha umwite Generation-Y, ila linaanza na G....Aspirin akipata tenda ya kusimamia ubatizo, mimi ntakua mkuu wa jiko upande wa uchomaji....

Albatar tapata habari ake! Huyu mtoto mmeshamuandalia katekisimo ya ISC....Like father like son....hiyo ni kanuni kuu.
 
No no no no no no sijamaanisha umwite Generation-Y, ila linaanza na G....Aspirin akipata tenda ya kusimamia ubatizo, mimi ntakua mkuu wa jiko upande wa uchomaji....
hehehehe!
hhuko jikoni nako tutatangaza ZABUNI
 
Hongera Teamo

Angalia usimwite jina gumu sana bana wachaga hawakawii kumwita la kwao. Gabriel watamwita Gabu/Gapu/Birieli kama si Pirieli
Geoffrey watamwita Firee na Gregory akaishia kuitwa Giree.

I will go for Gregory though
UMESOMEKA DADA LAKE!
samahani kama ungeweza kunipa jina na maana kabisa
 
hebu mtafutie mtoto jina huko... kwani lazima liwe G...mie napendekeza Chrispin...hebu ongea na Teamo.

Name Calling....You have been warned!
Hii thread ni Name G Tafutaring wewe unafanya name calling?
 
You see, things are taking shape now

Ewaaaaaa! Sababu nyingine ya kukamata Albatar!

Ikiisha hiyo tafanya sherehe ya kutimiza miaka 30 tangu nigradyueti Nasare Skuli. Yaani ni masababu tu, ili mradi Albatar apate habar ake!
 
Back
Top Bottom