Mwite Katiba Jr.
Alvin, Aivan, Ithan
ukawa lingependeza zaidi
habari wana mmu! leo mke wangu amejifungua mtoto wa kiume naombeni jina! je nimuite nani?
Alvin, Aivan, Ithan
Habari wana MMU.
Leo mke wangu amejifungua mtoto wa kiume naombeni jina.
Je nimuite nani?
chipwilu, ama chibwade ukimwita jina hilo nakuakikishia hafi maskini unataka jua kwann?