MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

Ulazima wa kuanzia "G" una siri gani? Other options:

Mpe jina la babu yake upande wowote ule prefarably upande wa mama yake kwa kuwa ni wa kiume.

Changanya herufi kutoka jina lako na mkeo mpate jina la mtoto.

Kama wewe hii "wedi kap" inayoendelea inapanda, pata jina huko bora tu asiwe Robben (the diver)

Vyote vikishindakana - andika vikaratasi vya majina yote uliyo propose then chagua moja kama bahati nasibu.

Ungekuwa mtani wangu toka BK - ningekushauri ujaribu haya (IPhone Rugumamu, Samsung Mkandala, Nokia Rwegasira, Sony Mutasyobya, LG Mutalemwa, Techno Muchunguzi, etc). Hapa natania tu mkuu!!

By the way, hadi anazaliwa hamkuwa na wazo lolote kuwa akiwa wa kiume jina fulani, akiwa wa kike jina fulani.
 
Muulize bibi yako akupe jina la asili ya kwenu linaloanza na hiyo G
 
Back
Top Bottom