MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

HA HA HA HA!
zawadi ni zawadi wajameni.....

iwe ya kike au ya kiume
 
ghafla baba Gift...hhahahahha...baba Gift

Huyu mdogo wetu ana matatizo...mimi nilishani anahangaika sasa hivi kuweka mambo sawa kwa shopping na vitu kama hivyo kumbe pressure iko kwenye jina....Kwani mtoto hana babu?
 
sasa babu yake ni Retired Maj Gen DC (1947).

hayupo mjiini
 
mkuu,
kesho naenda MUMMY kuvuta mzigo wa pili
 
Baba Gift
JF Premium Member

Join Date
Fri Jan 2009
Location
COUNTER

Name calling....
 
sasa babu yake ni Retired Maj Gen DC (1947).

hayupo mjiini

Wewe nawe...

Kwani mtoto anakuwa na babu mmoja? Kuna baba yake baba, baba yake mama, baba yake binamu etc..Ikishindikana si unamtafuta jirani yake na baba au rafiki yake babu?

Au ndo mambo ya hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe...I can now understand!
 
GABRIEL - ni jina zuri la kikristo na ni malaika mlinzi na wa amani.
i like that.
 
Wewe nawe...

Kwani mtoto anakuwa na babu mmoja? Kuna baba yake baba, baba yake mama, baba yake binamu etc..Ikishindikana si unamtafuta jirani yake na baba au rafiki yake babu?

Au ndo mambo ya hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe...I can now understand!
you can say that again and again and again
 
Back
Top Bottom