Hapa inabidi tukuulize unataka ushauri wa aina gani. Manake mgonjwa wa malaria tunamuulizaga ukiumwaga malatia unatumiaga dawa gani.
Hebu tushauri tukushairije labda.
mi sioni nipo tilalila hebu nitafsirie kwa kimakondeunauliza hali ya mgonjwa wakati unaona sanda.
Ukiona manyoya?Boyfriend wangu alikuwa na urafiki na Dada mmoja na wakawa wanashauriana sana mambo ya kibiashara,lakini Yule Dada alikuwa anapiga sim kwa my man Kila saa, mind you she is married.My boyfriend aliniambia anadhani huyu Dada anamtaka.Jana she asked him waonane na nilimuuliza jamaa his timetable hakuniambia kuhusu kukutana na huyu dada.I forgot to mention that I had moved in na my bf! Baadae karudi msg ikaingia kwenye sim yake ghafla nikajiskia kufungua ile msg nilipo ifungua Yule Dada alikuwa akimshukuru bf wangu for the kiss na akamwambia g9t I love yu hun.I had an arguement with my man Ila he insists huyu Dada made a move.Sijui maongezi yao yalihusu nini na pia mume wa huyu Dada alikuwepo hiyo sehem Ila my man na huyu Dada walienda kuongea pembeni.nimejaribu kuifipisha hii story.naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje?
kwa lala na shemeji eti? mpe vitu usiku mtakatifu huu keyboard tuachie sisi masinglemmh!
nisawa na kumuonyesha mwanafunzi mtihani kabla,
halafu ndani ya chumba cha mtihani akaomba mtafu.
mi sioni nipo tilalila hebu nitafsirie kwa kimakonde
kwa lala na shemeji eti? mpe vitu usiku mtakatifu huu keyboard tuachie sisi masingle
mwambie akamuulize mume wa huyo mama hizo sms za mke wake zina maana gani? au kama vipi na yeye aanze kumtumia huyo babaEti bf wake hafanyi kitu na mke wa mtu, wanatumiana meseji tu za malavidavi.
aiseee so shem yupo alone now? teh sijui anabonyeza keyboard wapiukiona hivyo ujue niko leave bana,
hujui tukikaa muda wote wawili tutaboana??
aiseee so shem yupo alone now? teh sijui anabonyeza keyboard wapi