magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,042
- 34,463
Wadau natumia modem ya zantel kwa muda mrefu sasa ila baada ya kuinstal window mara kadhaa saiz inagoma kusoma yaani huwa inaleta mesage Found new hardware afu inasach mwisho inasema usb drivers not found! Ila nikichomeka ya airtel hata haisumbui inakua poa tu! Msaada wenu tafadhali!