Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

captain 21

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2021
Posts
604
Reaction score
1,198
Mambo vipi wakuu?

Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu.

Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia online au vipi?
 
Mnafanya kila mtu na simu yake mkiwa makwenu, weka bando tuu mtapewa link ya usaili.
Hata mimi mwanzo nilidhani hivyo lkn wameshatoa mpaka location za interview lkn usahili utakua kwa njia ya mtandao
 
Hongera kwa kuchaguliwa kwenye Usahili Mkuu
1. Ukiingia kwenye chumba Cha Usahili utaambiwa nenda kakae kwenye computer ambayo imewaka, inabidi ufanye ivyo
2. Baada ya apo kwenye screen ya computer utakuta Kuna uwanja wa ajira portal ivyo utaambiwa uingize username na Password kwenye ajira portal
3. Baada ya apo italeta jina lako kwenye dash board upande wa kulia juu na chini italeta jina la nafasi ya kazi uliyo omba, inaweza chukua hata dakika 20 kuwa kwenye iyo screen ya awali
4. Baada ya apo yule mtu wa Usahili ataongea na makao makuu kisha baada ya apo screen yako itabadilika na kukuletea maelekezo unayo takiwa kufuata pindi unapo Fanya mtiani, zoezi hili litadumu kwa muda wa dakika kumi ivi
5. Baada ya apo utakubali Aya maelekezo kwa kuminya kitufe Cha kukubali kisha mtiani wako utakuja
6. Mtiani unaweza kuwa na kaswali 40,45 au 50 na kila swali ni dakika moja ivyo muda upo wa kutosha maana ni multiple choice ivyo usiwe na papara
6. Ukiwa unachagua majibu kazi yako ni kuscrol chini au juu na kuchagua jibu usifanye kitu Cha tofauti na icho
7. Baada ya kumaliza maswali yote unaweza kusubmitt au ukasubiria muda uishe ili ijikusanye yenyewe
8. Mwisho kabisa utapewa karatasi kisha uta weka sahihi yako na apo itakuwa mwisho wa usahili
 
Nakazia point ya Sita (6) usifanye kitu Kingine tofauti na kuchagua jibu lililo sahihi kwako. Mfano: Ukijaribu ku minimize page unayo fanyia mtihani kwa lengo la ku google swali la jibu au kufanya activity yoyote tofauti na kujibu mtihani mfumo uta detect unafanya cheating hapo hapo Mtihani wako uta ji submit automatically na ndiyo itakuwa mwisho wa usaili wako.

Ahsante.
 
Mkuu ubarikiwe sana, maana paragraph imejitoshereza nishindwe mimi hapa
 
Nakazia point ya Sita (6) usifanye kitu Kingine tofauti na kuchagua jibu lililo sahihi kwako. Mfano: Ukijaribu ku minimize page unayo fanyia mtihani kwa lengo la ku google swali la jibu au kufanya activity yoyote tofauti na kujibu mtihani mfumo uta detect unafanya cheating hapo hapo Mtihani wako uta ji submit automatically na ndiyo itakuwa mwisho wa usaili wako.

Ahsante.
Shukrani sana mkuu, point muhimu sana hii
 
habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba kazi ya OSHA ajira portal kitengo cha Engineer II (Plant), vigezo walivyoainisha ninanyo lakini bado inagoma leo ni siku ya tatu, mwenye kujua ufumbuzi wake anisaidie wakuuu
 
Inamaana maswali yote let say 25 yatakuwa displayed kwenye screen ya comptuter ?? If yes mbona kama yatakuwa madogo sana ??

If no ? Je ntaruhusiwa kuya maximize kidogo ili niweze kuona au kwa kufanya hivyo pia itakuwa interpreted kama cheating na computer ??
 
Nazani hayatakuwa madogo kiasi cha wewe kutokuona.
 
Inamaana maswali yote let say 25 yatakuwa displayed kwenye screen ya comptuter ?? If yes mbona kama yatakuwa madogo sana ??

If no ? Je ntaruhusiwa kuya maximize kidogo ili niweze kuona au kwa kufanya hivyo pia itakuwa interpreted kama cheating na computer ??
Una maximize mkuu na maswali unaweza ku scroll up and down kama pdf unavofanya
Unaweza kuanza swali lolote unaloona rahisi
Na pia unaweza badili jibu kama unahisi ulimojaza si sahihi
Wewe unacheza na mouse tuu
 
Jambo jingine kama ni online kuna haja tena ya kupanga usahili kwa kanda kama vile dodoma,, dar , arusha ?? Au kila mmoja atapangia kituo katika mkoa wake ??
 
Vituo vya usaili vipo kila mkoa
Uwe unapita kwenye akaunt yako utaona
 
Back
Top Bottom