bajaji ngapi na unatoa sh ngapi..???Habari ya kazi wadau,
Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukurani.
Habari ya kazi wadau,