Msaada upimaji Wa viwanja

Msaada upimaji Wa viwanja

frank gallagher

Senior Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
124
Reaction score
126
Salaam kwa wote
Naomba wenye utaalamu au ujuzi Wa kupima viwanja nataka kujua gharama za kupima eneo kuwa viwanja,na taratibu za kufata mpaka kufanikisha.
Nina eneo pwani,chalinze heka 8 nataka kulipima vitoke viwanja(plots),natakiwa nifate taratibu zipi ?maana eneo lenyewe nimeambiwa siwez kupima kama Shamba sababu natakiwa liwe la makazi gharama zake zipoje mpaka kufanikisha,nimeuliza wataalamu kadhaa waupimaji but wanazunguka tu hawakupi makadirio kwamba mpaka ukamilishe itakuwa kiasi flan,na heka 7 inaweza kutoa viwanja vingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nkupatie jamaa yangu
Nku link naye
Syo longolongo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom