Msaada : Updates kazi za access bank

Msaada : Updates kazi za access bank

maite

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
11
Reaction score
2
Mwenye taarifa za kazi za access bank ambazo dead line yake ilikuwa tarehe 20 mwezi uliopita.
 
Niliomba junior customer support officer mkuu.
 
Du Mimi nilishawasahau...wangenipigia ningedhani wamejipendekeza haha
 
siku hiz kazi access bank nazo ni za kuomba?
kweli hali ngumu kitaa
 
Mwenye taarifa za kazi za access bank ambazo dead line yake ilikuwa tarehe 20 mwezi uliopita.
Hee watu washaanza kuitwa interview..jana tumefanya interview ya kuandika pale hq post ya sale representative tunasubir majib...kama hujaitwa jua hukubahatika...watu washaanza kufanya interview na wamesema watawapigia simu watakaoingia next step..
 
Daah hata mm niliomba hiyo wakuu lakini kimya ..tuvute subra kama c " man at work"
 
Hee watu washaanza kuitwa interview..jana tumefanya interview ya kuandika pale hq post ya sale representative tunasubir majib...kama hujaitwa jua hukubahatika...watu washaanza kufanya interview na wamesema watawapigia simu watakaoingia next step..
nyie mlipata taarifa kwa njia ipi mkuu?!
 
Hee watu washaanza kuitwa interview..jana tumefanya interview ya kuandika pale hq post ya sale representative tunasubir majib...kama hujaitwa jua hukubahatika...watu washaanza kufanya interview na wamesema watawapigia simu watakaoingia next step..
Daah!!!
 
Back
Top Bottom