Nahitaji korosho kwa wingi kwa bei ya jumla. Nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam? Huwa naziona madukani na kwa machinga lakini sifahamu wanazijumua wapi. Naomba msaada wa taarifa kwa anayefahamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.