Msaada: Ununuzi wa gari Afrika Kusini na kulisafirisha kwa barabara

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Habari wadau,
Ninaombba msaada katika hili,
Nimepata gari Afrika Kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika Tanzania, nachohitaji kujua je gharama zitakuwa juu au chini? Namba za gari limesajiliwa huko huko, mwenye experience juu ya hili anijuze.

Thanks
 
Omba kibali cha kusafirisha on transit documents
Pata dereva mzuri mwaminifu na mwenye uzoefu
Pita barabara fupi aidha Msumbiji au Zambia
 
habar wadau,
ninaombba msaada katika hili,
nimepata gari africa kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika tanzania,nachohitaji kujua je gharama zitakuwa juu au chini?namba za gari limesajiriwa huko huko,mwenye experience juu ya hili anijuze.thanks
Kuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shida
 
Yaani hadi lifike bongo kilometer itasoma km imetoka mwezini kwa huo umbali
 
Kuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shida
Siku hizi unakuwa na mikataba ya kisheria na unahakikisha umezijulisha mamlaka zote zinazohusika ikiwemo bima
 
habar wadau,
ninaombba msaada katika hili,
nimepata gari africa kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika tanzania,nachohitaji kujua je gharama zitakuwa juu au chini?namba za gari limesajiriwa huko huko,mwenye experience juu ya hili anijuze.thanks

Kwa zababu gari limesajiliwa RSA, Cha kufanya kwanza kabla ya kutoka huko peleka gari kwa vehicle inspector ambao watakuandikia report ambayo utaenda nayo interpol wao watafatilia kisha nao watakuandikia barua ya kusema hilo gari halina tatizo na linaweza kwenda popote

Sasa sijui uko South pande zipi, lakini unaweza kupitia border ya Botswana (Tolkwen Border post) hii inapakana na Gauteng unapitia Mafikeng kutoka Botswna unaendesha mpaka Kazungura Border pst (Bots-Zambia) kutoka Zambia ndio mpaka Bongo,

Au unaweza kupitia Bait Bridge border post (South- Zimbabwe) kisha unaendesha mpaka Chirundu border post (Zimb- Zambi) kisha Zambia to Bongo

Hii ya pili ni nafuu zaidi kwani ni shorter kuliko ile ya kwanza

Gharama labda za mafuta sijajua ulaji wa gari lako, ila gharama zingine huwa za kawaida tu kunakuwa na Insurance ya nchi unayopita, carbon tx na rushwa za hapa na pale hasa Zimbabwe na Zambia

Hiyo njia ya Mozambique sikushauri, hasa kipindi hiki cha mvua
 
Na ukifika Nakonde kuna utaratibu (form ya kujaza) ikiwa gari inarudi Bondeni au lah, sasa wewe wambie inarudi kisha ikishaingia bongo ipaki sehemu kisha fatilia vibali. Endapo ukiwambia hairudi it means itabaki hapo hapo boda mpaka uilipie ushuru ata kama ni mwaka mzima.
 
Nasikia kuna utaratibu maalum wa gari za SADC kuingia nchi mwanachama na kukaa kwa siku kadhaa kisha unatoka tena au unalipia gharama fulani ndogo unaongeza siku. Kuna jamaa anatembelea gari ya sauzi (namba za GP) karibu mwaka sasa.
 
Pitishia zimbabwe-south africa-zambia n njia rahis sana,
Kash kash zipo kwa ajili ya document lakin simple Lake oil gari zake katoa sauz simpo.
 
Kuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shida
Hiyo nilikuwa zamani mkuu kabla insurance company. Hazijajua huo mchezo , kuna mambo hata hivyo ya kujiridhisha kabla hujalitoa gari south Africa ,
Mosi hakikisha gari linakuwa de registered na owner aliyekuuzia , hii itafanya kuwa ngumu kwa aliyekuuzia kukugeuka siku za usoni, kama ulikuwa una mpago wa kulitumia ukiwa huko kwa muda Fulani kabla hujalileta huku then simply get it into you names .

Pili hakikisha siku unayotoka border claim your vat refund unaweza usichukue pesa kama pesa kwa kuwa huwa inahitaji usubiri kwa muda Fulani lkn document ya refund into your name ni Salama zaidi
 
Na ukifika Nakonde kuna utaratibu (form ya kujaza) ikiwa gari inarudi Bondeni au lah, sasa wewe wambie inarudi kisha ikishaingia bongo ipaki sehemu kisha fatilia vibali. Endapo ukiwambia hairudi it means itabaki hapo hapo boda mpaka uilipie ushuru ata kama ni mwaka mzima.
Siku hizi hawaweki gari zinazosuburi kulipiwa kodi kwa muda mrefu, kuna grace period ya siku 21, halafu baada ya hapo unaanza kulipia storage , ikipita miez miwili wanapiga mnada.
 
Aaa
Kwa zababu gari limesajiliwa RSA, Cha kufanya kwanza kabla ya kutoka huko peleka gari kwa vehicle inspector ambao watakuandikia report ambayo utaenda nayo interpol wao watafatilia kisha nao watakuandikia barua ya kusema hilo gari halina tatizo na linaweza kwenda popote

Sasa sijui uko South pande zipi, lakini unaweza kupitia border ya Botswana (Tolkwen Border post) hii inapakana na Gauteng unapitia Mafikeng kutoka Botswna unaendesha mpaka Kazungura Border pst (Bots-Zambia) kutoka Zambia ndio mpaka Bongo,

Au unaweza kupitia Bait Bridge border post (South- Zimbabwe) kisha unaendesha mpaka Chirundu border post (Zimb- Zambi) kisha Zambia to Bongo

Hii ya pili ni nafuu zaidi kwani ni shorter kuliko ile ya kwanza

Gharama labda za mafuta sijajua ulaji wa gari lako, ila gharama zingine huwa za kawaida tu kunakuwa na Insurance ya nchi unayopita, carbon tx na rushwa za hapa na pale hasa Zimbabwe na Zambia

Hiyo njia ya Mozambique sikushauri, hasa kipindi hiki cha
K
Na ukifika Nakonde kuna utaratibu (form ya kujaza) ikiwa gari inarudi Bondeni au lah, sasa wewe wambie inarudi kisha ikishaingia bongo ipaki sehemu kisha fatilia vibali. Endapo ukiwambia hairudi it means itabaki hapo hapo boda mpaka uilipie ushuru ata kama ni mwaka mzima.
Kwahiyo nifanye nini hapo..?gar limesajiriwa south na Niko johnsbrg,msaada tafadhar kwa undani njia za kufanya
 
watanznia wenzagu Niko johnsburg,na ninataraji kurejea bongo soon...hili gar lilikuwa LA MTU hapa jhnsburg so anataka kuniuzia,no range vague sport,limesajiriwa kwa hapa south,hebu nisaidien tafadhar format nzima
 
kabla hujalipia ilo gari nenda police clearance upate ile certificate sio ile ya kutokea hapana iyo kujua je ni gari ambalo sio la wizi au la..kama upo twn ya karibu kama unaelekea soweto au mbele ya Jumbo kulia hapo..
 
Back
Top Bottom