Hii aina ya modem imenipa kazi sana ku-unlock na bado sijafanikiwa. Kuna toturial za ku-unlock hii moderm kwa dc unlocker lakin kwa hii aina ya modem lazima ulipie.
Wataalamu wenye ujuzi wa ku-unlock aina hii ya modem bila malipo ya euro naomba msaada.