Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,393
- 8,531
Mashetani ili wakufanyie kazi ni lazima ukufuru kufuru zilizokuwa kubwa.Unajiita Magical power halafu hujui kuwaita majini ...
Kuna jamaa fulani aliwahi niambia unachukua "Quran" unaenda kuikanyaga chooni miguu yote miwili , Hapo unaliita jini Makata unalituma kwenda kumdhuru yeyote..
NB: Kua makini mana jamaa alisema ukiingiza hofu tu unapasuka matumbo au unachanganyikiwa milele...
Kwa upande wangu mi naona ni FAIRLY TALES tu ..
Kumbe haikua story tu, kumbe hii ni kweli aiseeeMashetani ili wakufanyie kazi ni lazima ukufuru kufuru zilizokuwa kubwa.
Mfano ni haram kuingia na maneno ya MUNGU chooni. Hata kutamka jina la MUNGU ukiwa chooni ni makosa. Why kwasababu chooni ni sehemu chafu na MUNGU ni msafi, mtakatifu.
Hivyo huwezi kutamka jina lake mahala pachafu.
Mashetani wa kijini (majini waovu) ili wafanye kazi yako ni lazima ukufuru kama wao au zaidi yao. Kukanyaga maneno ya MUNGU ni dharau na kufuru kubwa mbele ya Mungu. Hivyo ukishakufuru sasa ndio nao wanakufanyia kazi yako na ili waendelee kukufanyia kazi ni lazima uendelee kukufuru zaidi na zaidi.
Ndio unaona washirikina wanakinajisi Kitabu chenye maneno ya MUNGU, waanaingia nacho sehemu chafu n.k
Wengine wanafikia kukipaka hadi damu ya hedhi n.k kusudi kubwa ni wao wafanyiwe kazi zao na mashetani ya Kijini.
Translate to SwahiliInhale marijuana dont smoke
INHALE
Yeah ndio lengo kubwa la ibilisi. Kumfanya mwanadamu amkufuru Mungu ili mwisho wa siku apate watu wa kuingia nao Motoni .Kumbe hii kweli aiseee
Hatri sana hii ni hatari mnoo, Yani unakua umemtukuza Shetani moja kwa moja ..
Ukimpata mmojawapo kati ya hawa atakusaidia:Wakuu naomba kujua jinsi ya kumwita jini live na kuongea nae kwa njia za short cut na akaja🙏🏽.View attachment 3096500
Achana nao hawana nguvu siku hizi tumia AIKwani hawapo?
JidanganyeAchana nao hawana nguvu siku hizi tumia AI
👂🏽Tumia white magic