Msaada unaitajika

Unajiita Magical power halafu hujui kuita majini

Kuna jamaa fulani aliwahi niambia unachukua "Quran" unaenda kuikanyaga chooni miguu yote miwili , Hapo unaliita jini Makata unalituma kwenda kumdhuru yeyote..

NB: Kua makini mana jamaa alisema ukiingiza hofu tu unapasuka matumbo au unachanganyikiwa milele...

Kwa upande wangu mi naona ni FAIRLY TALES tu ..
 
hii mlikuwa kijiweni bila shaka ndo ukawatishia ili muheshimu tamaduni za watu.
 
Mkuu kua magical so ndo nimemaliza Kila kitu naitaji elim mpya ambayo Sina Nina ujuzu wa kuita nilicho andika but nachukua mawazo mapya niendelee na ujuzi wangu
 
Mkuu kua magical so ndo nimemaliza Kila kitu naitaji elim mpya ambayo Sina Nina ujuzu wa kuita nilicho andika but nachukua mawazo mapya niendelee na ujuzi wangu
Chukua hyo halafu nimesahau , inatakiwa uwe usiku mtulivu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ