peter mlokota
Member
- Jan 13, 2012
- 19
- 0
mwenye kujua jinsi ya kuconfig DNS kwenye fedora 16 anisaidie kwan inafika mahali nainstall bind inaonyesha kuwa imenstalled lakin nikija kuitafuta katika file system->etc siipati sasa nashindwa kujua imejificha wap?????/naomba mwenye maujuzi na hili anisaidie