Msaada unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LadySwa, Aug 21, 2011.

 1. L

  LadySwa Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mimi napiga boksi zangu ughaibuni,nataka kupata mkopo kama milioni 30 nina nyumba dar
  ninauwezo wa kulipa milioni moja kila mwezi licha ya kuweka nyumba.na kama kuna mwenzangu aliyeko ughaibuni keshafanikiwa
  kwa jia ya kupata mkopo nyumbani ,karibuni jamvini.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  location ya nyumba yako .... je nyumba ina tittle deed ...?
   
Loading...