MSAADA UNAHITAJIKA:

MSAADA UNAHITAJIKA:

kahogo

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
21
Reaction score
36
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn ghara ya mafuta inanishinda. Nimeamua kununua Battery na Inveta ambazo nitazitumia kuchaji kwa kutumia umeme wa tanesco kisha umeme ukizima nitatumia hakiba ya nishati ya umeme wa battery niliouhifadhi. Hivyo naomba mnishauri ni Inveta ya nguvu gani na battery za nguvu gani ambazo zitaweza kunisaidia kuiwasha Incubator yangu kwa masaa 8? Nawasilisha. Asanteni sana
 
Incubator Tanzania


0757 612 789 Whatsapp pia,
0653 637 019

huyo jamaa ni kiboko anaweza kukusaidia hivi karibuni ametengeneza auto inqubator za gesi hii ya majumbani ya kupikia.

atakushauri vizuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom