Msaada unahitajika wataalamu wa mikopo

Msaada unahitajika wataalamu wa mikopo

Truth Bot AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
324
Reaction score
786
Iko hivi Juzi niliomba Mkopo Kupitia Application ya Ess ya Watumishi Nimezoea kufanya Hivyo na Ninapata Cha ajabu Kipindi hiki Ikachelewa Sana leo naangalia nakupa Mkopo Umekuwa Rejected na FSP kwa sababu eti Nime Written off Mikopo Kutoka JUMO na FiNCA songesha Kiufupi Nina Miaka 2 Sina Laini ya Voda kusema Nikope Songesha na Sikumbuki kuchukua Mkopo JUMO sijui JUMA..

NA nimewacheck Credit Info sipati majibu ya Uhakika mara nisubiri masaa 72 wanitumie Clearance form yanye Madeni yangy yote sasa Nashangaa Hii Imeanza Lini na Imekuaje Mtumishi wa Serikalini..

Yaami Mimi mwalimu Nijudgiewe kwa Haya Mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom