Msaada unahitajika wa kufungua email yangu

mkuu huyo jamaa mwenye hiyo namba hapatika takriba mwaka sasa. nimetuma msg atleast akiwasha aone msg ila wapi. ukipiga najibiwa hiyo namba imezuiliwa
Kama unajua jina mcheki fb kisha mchonge, kama atakuwa nayo ama hatumii anaweza renew kisha ukakajaribu hizo hatua zingine hapa nashauri ili kumpa nguvu lazima umtoe hata ka buku 10
 
Issue yako ni ngumu sana...

Natumae mleta mada umepata muongozo...
 
Ngumu sana hiyo ishu.
Jaribu kukumbuka mwezi na mwaka uliofungua, password ya mara ya mwisho, email mbadala uliyojaza (utakuwa mzembe sana kama hukuweka hii maana kazi zake ndio kwenye mazingira kama haya), swali la usalama uliloweka.
Nenda sehemu ya kuingia, chagua nimesahau nywila.
Watakwambia uingize namba ya simu inayoishia na...., sema sina tena access nayo.
Baada ya hapo ndio utakutana na maswali tajwa hapo juu uyajaze, sasa kama hukuweka ndio basi tena hiyo email.

Kwenye email zetu tujitahidi kuweka alternative email hata mbili na namba za simu zaidi ya moja ambazo hatuwezi kupoteza kumbukumbu kirahisi.
Hata ukipoteza namba uwe mwepesi kuhariri taarifa za akaunti.
 
Kama unajua jina mcheki fb kisha mchonge, kama atakuwa nayo ama hatumii anaweza renew kisha ukakajaribu hizo hatua zingine hapa nashauri ili kumpa nguvu lazima umtoe hata ka buku 10
kama ulikuwwpo kwwnye akili yangu mkuu. nilimcheki jina kwenye airtel money kisha nikamcheki fb bado nasubiri
 
nikibonyeza visit our free site napata hii screen
 
Anza na 'Forgot your password or ID' | kisha 'Yahoo account is locked'.

Kama unamiliki tarakilishi vyema tumia katika kuprocess hizo issues.
 
badocimeshibdikana. airtel wameshibdwa kunisaidia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…