Kma haukuweka number alternative huwezi ingia hyo email yako. Yaani hyo hata ukiwaambia google wenyew hawakufunguliisiwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
sio google mkuu ni yahoo. instead of password pale kuna mob number. hapa sijui nafanyaje mkuuKma haukuweka number alternative huwezi ingia hyo email yako. Yaani hyo hata ukiwaambia google wenyew hawakufungulii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshasema namba haipatikani ni mwaka sasa.Mpigie huyo anayeitumia hiyo line muombe akufowadie hiyo msg ya yahoo
Si usome ujumbe wote ndio ujibu,Mpigie huyo anayeitumia hiyo line muombe akufowadie hiyo msg ya yahoo
Bongo nyossoSi usome ujumbe wote ndio ujibu,
2 factor authentication ndio ipo hvo. Hata yahoo nayo process ni ile ile tu. Bila number ya simu huwezi ingia hata kwa dawa. Unatakiwa uweke recovery email (email ya mtu mwingine wa karibu au yako nyingine) or uweke alternative numbers. Ukibadilsha number ya simu kumbuka kubadilisha na kwenye email zako.sio google mkuu ni yahoo. instead of password pale kuna mob number. hapa sijui nafanyaje mkuu
Kweli ase ila sio ameedit kweli mana sikuona hicho kipengeleAmeshasema namba haipatikani ni mwaka sasa.
sikuweka. nimeenda mpka Tcra wanisaidie kwa hili na wao wamegomaHaukuweka recovery email?
ninapoingia tu inataka niingize phone number/email address. nikiingiza emaiil inakataa kwenda next step. nikiingiza namba ya simu inakubali, hapo sasa ndio inatuma code kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa sina mkuu.Unapoingia Yahoo unaona kipengele 'I don't remember my password' ?
umeona hapo. email nikiweka inagoma mpka namba ya simuninapoingia tu inataka niingize phone number/email address. nikiingiza emaiil inakataa kwenda next step. nikiingiza namba ya simu inakubali, hapo sasa ndio inatuma code kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa sina mkuu.
Kunakuaga na alternative soma vizulisiwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
Huu ndio ushaurisiwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
Kama kitu unachokitafuta kwenye email ni cha msingi sana
1. Usiogope kutumia pesa
2. Mtangazie dau huyo aliyepewa namba yako ili akubali kupoteza muda wake ktk kuwasiliana na airtel ili muone namna ya kuirejesha hiyo lain.
3. Manenoatupu hayavunji mfupa wa kukusaidia ni huyo jamaa kama atakubali dau lako na kuamua kupoteza muda wake kidogo kwa ajili yako basi fanyeni kazi.
4.... Hackers sijui kama wanaweza kuingilia mifumo ya yahoo na kuweza kuidukua email yako na kusoma kilichomo.(namaanisha wa hapa kwetu tz.) Hii ndio njia ya mwisho kama hizo nilizotaja hapo juu zikiahindikana.
kumbuka hakuna mkate mgumu mbele ya chai(peasa).
french ingiza/weka namba uliyonayo / tena kwenye simu kwa sasa!.ninapoingia tu inataka niingize phone number/email address. nikiingiza emaiil inakataa kwenda next step. nikiingiza namba ya simu inakubali, hapo sasa ndio inatuma code kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa sina mkuu.
mkuu huyo jamaa mwenye hiyo namba hapatika takriba mwaka sasa. nimetuma msg atleast akiwasha aone msg ila wapi. ukipiga najibiwa hiyo namba imezuiliwaHuu ndio ushauri
Yalinikuta masaibu ya aina hii mimi kwa upande wa paypal, nakuambia hivi huwa siwezi tena kufanya 2 factor authentication kwa lolote lile na hata maswala ya pesa freelancing site Wana hiyo kitu be carefully