Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja aje mwenyewe aseme
 
Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hakumuacha kwa sababu hakuona haja ya kuoa, wanasema "kama maziwa napata kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?" Sasa ng'ombe keshafugwa na mfugaji mwingine maziwa hapati tena unadhani akipata nafasi ya kumfuga huyo ng'ombe ataacha?
 
Wenzako wakipata wa hivi wanaoa awe mke wa pili.... Ndoa inafungwa hata kimila au bomani.

Binafsi nisingemuachia.

Dah nimeyumba sana mkuu! Nilijisahau sana aisee ndio maana siku ananiambia kapata mchumba anataka kuja kutolewa mahari almanusura nizimie.
 
Yaani kwa hapa itabid nijikaze sana aisee
 
Kumuacha mkewe hawezi pia, otherwise angeshamuacha kitambo

Naweza tena kwa herufi kubwa nilishawahi kugusia hili yule binti alinikataza kwa kuniambia itakua si vyema sababu wanafahamiana na fanilia itachukulia vibaya kitendo kile...nami nilivyotuliza akili nikaangalia watoto nikaona acha niwe mpole tu.
 
Yaan kwa huyu binti na lifestyle niliyoishi nae nilikua sipindui uongo tukiweka pembeni.
 
Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app

Kwa kweli huyu binti alinizidi akili nikiri! Maana siku ananiambia anakuja kutolewa mahari sikuamini..siku hiyo sikufanikiwa kuiona ila harusi na sendoff zote nilihudhuria..aisee nilihisi kulia na kucheka kwa wakati mmoja! Cha kunishangaza jamaa yuko very happy na kamzoea kbs mpk nikajiuliza kamzoea kwa muda gani! Yaani nilijiuliza maswali mpk leo majibu yk sina.
 
Yaani jibu lingekua ni yes with the whole heart.
 
Alijua akikwambia mapema ungeanza kulia. Hukuamini majicho yako kama mpenzi wako na yeye ana mpenzi wake mweeh
 
Hakumuacha kwa sababu hakuona haja ya kuoa, wanasema "kama maziwa napata kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?" Sasa ng'ombe keshafugwa na mfugaji mwingine maziwa hapati tena unadhani akipata nafasi ya kumfuga huyo ng'ombe ataacha?

Kwa mhaho ninaoupata ni nitakubali kwa kufuga mm kwa speed ya 4g! Nimepigwa na mapenz uzeen maumivu yamezidi ht nilivyoachwa na kapenz kangu ka kwanza kukapenda
...halafu nae alikua ana character km za wife na huyu anainipa mhaho...wanaume weupe sijui nn kinatuvutaga km sumaku kwa hizi pisi za chocolate.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…