josephthadey
Member
- Dec 19, 2014
- 8
- 2
Hapa ukifuata ushauri wa wengine unaweza kujikuta uko Congo Ulanga na Mwanza mnafika sawa??
kanda ya pwani.....!morogoro ipo bara au pwani wasomi nipeni jibu utaje sifa za pwani na bara.
C kwel Dar mwanz ni mbal
Hapa ukifuata ushauri wa wengine unaweza kujikuta uko Congo Ulanga na Mwanza mnafika sawa??
Umeshawahi kufika Ulanga? Mwanza?
Ndio nshawahi
hivi siku hizi jiografia haifundishwi shule za msingi? wilaya kongwe iliyopo mkoa kongwe kama Morogoro mtu hawezi kuwa hajui ilipo maadamu umesoma na kuhitimu elimu ya msingi Tanzania hii.
Ulanga District (Mahenge District) is one of the six districts of the Morogoro Region of Tanzania. the administrative seat is in Mahenge. It covers 24,460 square kilometres (9,444 sq mi) of which 4,927 square kilometres (1,902 sq mi) is in forest reserves. Ulanga District is bordered to the north and west by the Kilombero District, to the east by the Lindi Region and to the south by the Ruvuma Region.Wewe upo sehemu gani?
Naongezea hapo,Ukiwa pale kivukoni Mto Kilombero,ukiwa upande huu wa Ifakara upo Wilaya ya Kilombero,ukivuka upande wa pili tayari upo Wilaya ya Ulanga.
naombeni kuliiza halmashauri ya wiliya ya ulanga,iko mkoa ganii??
niko dar
hivi siku hizi jiografia haifundishwi shule za msingi? wilaya kongwe iliyopo mkoa kongwe kama Morogoro mtu hawezi kuwa hajui ilipo maadamu umesoma na kuhitimu elimu ya msingi Tanzania hii.
Ahsante mkuu...mwakashinaKaribu Ulanga Rubi zilikozaliwa,mabasi ya huku ni ya kigumu tu lakini kwakuwa ajira ngumu,vumilia tu.
Ahsante mkuu...mwakashina
naombeni kuliiza halmashauri ya wiliya ya ulanga,iko mkoa ganii??