MSAADA: Ufugaji wa mbuzi kwa ajili ya nyama

Drazz

Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
18
Reaction score
42
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia

Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo, ushauri, na pia mbinu za kuweza kulifikia lengo langu.

Kwa wale ambao wangependa kutoa ushauri kulingana na geographical area mimi ni mkazi wa kibaha na shughuli hyo ya ufugaji ninataka kuifanyia maeneo ya huku huku kibaha kutokana na uwepo wa eneo la kutosha la kuweza kufanya hilo napenda kuwasilisha kwenu wana JF kupata msaada wenu wa mawazo.
 
Wataalamu watakuja kukupa nondo --- lakini kwa kibaha hapo hakikisha unatafuta siku kutembelea Mbogo ranches - ubena zomozi
 
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia

Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo, ushauri, na pia mbinu za kuweza kulifikia lengo langu.

Kwa wale ambao wangependa kutoa ushauri kulingana na geographical area mimi ni mkazi wa kibaha na shughuli hyo ya ufugaji ninataka kuifanyia maeneo ya huku huku kibaha kutokana na uwepo wa eneo la kutosha la kuweza kufanya hilo napenda kuwasilisha kwenu wana JF kupata msaada wenu wa mawazo.
MUBENDE Faana
 
Back
Top Bottom