Msaada Ufafanuzi, Kipato cha chini, kati, na kipato cha juu.!

Kawalala93

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
400
Reaction score
1,587
Habari zeni wakuuu!

Ni matumaini Yangu mnaendelea vyema na majukumu ya hapa na pale katika kusukuma gurudumu la maisha.

Mara nyingi nime kua nikisikia maneno tajwa yakitumika sana katika kujenga hoja mbalimbali hususani kwa wana siasa, katika kuwasilisha jumbe zao.

Kwa wajuvi na wataalumu wa mambo naomba mnitoe tongo tongo(mnifumbue macho). je, nini hasa maana halisi ya mtanzania wa kipato cha chini, kipato cha kati na kipato cha juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D4yssdfds

Ses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom