Msaada: Uchawi ni nini hasa?

Bullshit!!! So called uchawi haupo wala nini. Ukiona mtu anahusudisha sana hayo mambo ya uchawi basi ujue huyo ana dalili za kurukwa na akili kwa sababu uchawi ni imani na si kitu ambacho kipo. Mwisho wake mtu huyo aaminiye uchawi huweza kuishia kudata na kuwa kichaa/ mgonjwa wa akili.

Kama uchawi upo na kama humu kuna wachawi mimi nasema ku##@mae zenu na nilogeni kama mna ubavu.

unakosea kak coz hata vitabu vyote vya iman vina kubali huwepo wa uchawi na shetani..ukisem hvyo unakuw unapinga vitabu vya imani yako.
 
unakosea kak coz hata vitabu vyote vya iman vina kubali huwepo wa uchawi na shetani..ukisem hvyo unakuw unapinga vitabu vya imani yako.

Toka lini vitabu vya imani vikazungumzia vitu vya kweli vilivyopo kiuhalisia?

Unajua maana ya imani wewe?
 
what mind believe and conceive is what mind achieve....kama unaifahamu rangi nyeupe na nyeusi utaifahamu pia...na kama unaijua baridi hali kadhalika joto utakuwa unalifahamu....kama unaamini mungu basi jua kuna kinyume chake na hapo ndipo uchawi unapoanzia....believe me.......
 
umemaliza mkuu

uchawi upo rejea biblia
musa alivyokuwa kwny harakati za kuwakomboa waisrael, fimbo yake ilipogeuja nyoka na kumeza wale nyoka wadogo.....kasome biblia
 
hivi haya mambo ya imani, si halisi?
Inawezekana wajanja wanatupiga hela hili eneo?

na kwnn wakupige hela wakati umepewa akili na utashi?
Roho mtakatifu anakujulisha kila kitu!!

imani>ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo!!!

>>ni bayana ya mambo yasiyoonekana!!!!
 
Kuna nguvu 2 katika ulimwengu huu;nguvu hasi na nguvu chanya,ktk mambo mema nguvu chanya hufanya kazi ya wema mojawapo kutakiana heri na kauli njema,Mambo hasi ni pamoja na kauli za chuki,unafiki,fitina na huu typical huwa ni uchawi tosha,plus citations,mf,namchukia x sipendi hata kumuona ni bora afe afe afe afilie mbali kwa kurudiarudia kauli hii kwa muda fulani x huja kupata matatizo,je ni kwanini?sababu ni kwamba kauli zetu wanadamu huwa na aina fulani ya "uungu"amini,kwani kauli huweza jenga au bomoa
 
Sadaka zako zilipo... Weka hazina pasipofika nondo ... etc, naona yanatumiwa sana na wachungaji kwa sasa, bila kusahau asionekane mtu kaja nyumbani kwa Bwana mikono mitupu.
Nataka kutengeneza na Bwana unaweza nielekeza njia?
na kwnn wakupige hela wakati umepewa akili na utashi?
Roho mtakatifu anakujulisha kila kitu!!

imani>ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo!!!

>>ni bayana ya mambo yasiyoonekana!!!!
 
avatar167474_1.gif
 
!
!
inategemea na mazingira, uchawi unafanywa na wachawi.....na wachawi wako wa aina kibao mfano uchawi=ujuzi mathalani mchawi wa chenga katika soka= ana ujuzi wa hali ya juu katika kuwapiga wachezaji wenzake chenga. Mchawi wa hisabati= ana uwezo mkubwa wa kufanya hisabati......................lakini maana nyingine pia ni kumfanyia mtu jambo baya kwa siri, sasa inategemea na wewe unalitumiaje
 
Toka lini vitabu vya imani vikazungumzia vitu vya kweli vilivyopo kiuhalisia?

Unajua maana ya imani wewe?

nyani..kuna jamaa alizngua hvyo hvyoo..ila ungekuwa karibu ningeweza kukupa dvd...flan hiv ya wazee wa kibongo wakiwa wamedakwa n wana confes mambo yao...
 
umemaliza mkuu

uchawi upo rejea biblia
musa alivyokuwa kwny harakati za kuwakomboa waisrael, fimbo yake ilipogeuja nyoka na kumeza wale nyoka wadogo.....kasome biblia

u are so ryt guys ...kwani bible inaposema wachawi hawata iona mbingu..inamaan hao wachawi wanafanya sanaa?? huh...vitu vipo halisi na some nimewahi ona watu wamefanyiw matokeo yake.
 
Back
Top Bottom