Msaada: Ubuntu, Linux

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
Wakuu.. Heshima mbele,

Nina Computer (Acer, RAM 4GB, Processor AMD 2.4GHz) ina dual boot ya win7 na Ubuntu 11.04 but nashangaa bila sababu za msingi kila ninapojaribu ku log in kwenye ubuntu keys hazifanyi kazi! but Ctrl+Alt+Del inakubali... na kwenye windows 7 keys hazina shida kabisa... Tafadhali msaada...
 
kaka fanya kureinstall hiyo ubuntu' na ikikuzingua tena jaribu kucheki na driver. Ikishindikana ingia Ubuntu Forums utapata majibu ya swali lako kwa wataalamu wa ubuntu.
 
Uninstall Ubuntu install version ya zamani zaidi 10.something.
 
Wakuu nashukuru kwa mchango yenu...

Nimegundua version 11.04 ya Ubuntu ina Bugs wengi tu.. na hii case ishatokea kwa watu wengi.. Solution ilioko so far ni kuingiza log in password yako kwa KUKANDAMIZA KEYS KWA NGUVU! hapa inabidi mtu ka huna misuli uanze gym... halaf ukisahlog in unadisable log in passoword.. and everything itakuwa powah... koz keys zinakuwa unresponsive kwenye kulog in tu.. but ukishaingia zinakuwa powah tu..

Thanks All

JF Mbele..
 
asante kwa feedback......
 
Back
Top Bottom