Msaada: Computer yangu nikiiwasha inajizima yenyewe

wambeya

Member
Mar 1, 2017
38
13
Habari za usiku ndugu zangu,najivunia uwepo wenu koz hakuna kinacho shindikana mbele zenu

Nina shida na comoyuta yangu ni lenovo b 50 now ina window 7 nlinunua kwa jamaa ina HDD 500 GB RAM NI 4GB CPU 2 GB DUAL

Nimeitumia kwa muda wa mwezi sasa bila shida yeyote.jana asubuh ndio nikaanza kuona shida.
Ukiiwasha inawaka ikitokea logo ya lenovo ina jizima na kuwaka afu kuishia hapo hapo hufanya hivo tu ad sasa.

Binafsi kwa upeo wangu mdogo nikahis yafuatyo
1.hard disc au Ram itakuwa nashida kama kukorupt na nk
2.window cucorupt

## nikajaribu kufanya haya
Kushusha window upya kutumia bootable usb flash drive.ishu ilgoma koz ukipata boot option nikachagua drive yenye window niki press ENTER

Inaniambia remove disc or other media or press any key to restart.nkifanya ivo inarud kwenye lile tatizo

Nikajaribu eka hdd ya mtu mwingine bado inafanya ivoivo...
RAM sijajaribu naombeni msaada
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,389
18,393

RUDISHA uliponunulia kakupiga huyoo
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
29,142
34,996
Mkuu kwenye bios inaingia sio? Jaribu kuingia kwenye system log ya bios, inaweza kukuonesha ni kitu gani kimefeli ama kinachozuia computer kuwaka.

Pia hakuna beep yoyote inayotokea ikikataa?
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom