Msaada ubora wa sub woofer za Aborder

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,067
Nataka kununua sub woofer za aborder ila sijawahi kuzifahamu popote, hivyo sina amani naombeni mnipe ujuzi kwa wale walozitumia, na bajeti ya laki 1.

Pia nataka mniambie sub woofer amayo nitaunganisha spika zaidi ya tano au kama zipo waya za kuwafanya hivyo nijuzeni wakuu maana mara nyingi huwa naona sub woofer za spika mbili.

Pia TV gani za kisasa na original sio hayo mamchina ambayo itaniwezesha kucheza game, mambo ya internet, wireless n.k na bajeti ya laki 7.
 
Kama wataka mzik mnene nunua amplifier ya pioneer aina ya home theater utapata spika mbli za bass na nyngne tano kama twitter na zako utazo0ngeza
 
Aborder zimetulia, hiyo ya laki 1 labda mbovu au ya wizi
 
Reactions: MC7
Laki mojq ndio unaandikia post humu

NUNUA HOMETREATRE LAKI 7.5
Ndio ulete uzi hapa
 
Reactions: MC7
Kama wataka mzik mnene nunua amplifier ya pioneer aina ya home theater utapata spika mbli za bass na nyngne tano kama twitter na zako utazo0ngeza
sasa mkuu mimi nimesema na hiyo hela tajwa hapo juu. hiyo pioneer itafika sasa au wanitafta maneno tuu.
 
Aborder ni nzuri naitumia kwa mwaka sasa na inapga mzigo sometimes siku nzima na ni bei nafuu pia
 
Huu uzi wa kitoto
 
kwa hela yako nunua aborder AB3119BH hutojutia hela yako mkuu bei ina range 95000 had 110000 ina sauti nzuri sana kuhusu quality ya mziki ni zaidi ya sea piano ya laki na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…