Msaada uandishi wa CV ya page moja

Hawa naona kama matapeli nimesoma vizuri wanasema eti lazima ufanye security clearance na kuna tangazo la kaz moja nakumbuka waliandika hivo hivo bbadae unaaambiwa kufanya security clearance utume dola 50 sjui

Hapana bhana
 
Babu Kubwa Ndugu Yangu, Ni Matumaini Yangu Watakuita Ila Ikiwa Sivyo Basi Waandikie Barua Wakupe Mrejesho Kwanini Hawakukuita Ili Urekebishe Makosa Kwa Nafasi Za Kazi Zijazo.
​

Sawa ni idea nzuri nitahifamyia kazi kwa kuwa majibu ni mpaka 20 feb 2017
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
Wakati unasubiri kusaidiwa kuandaika CV yako, watu wameshakuwahi wao kwa kuweka wazi mambo yako muhimu, kuwa makinin mara nyingine, unaweza kutoa opportunity ambayo we mwenyewe huja ikwaa bado
 
Wakati unasubiri kusaidiwa kuandaika CV yako, watu wameshakuwahi wao kwa kuweka wazi mambo yako muhimu, kuwa makinin mara nyingine, unaweza kutoa opportunity ambayo we mwenyewe huja ikwaa bado

Sio mbaya kushare kama haikua yangu hata kama nisingeweka hapa nisingepata ila kama yangu hata kama nikishare hapa napata na pia haya mambo ya ajira au nafasi za kazi sio zakukumbatia
 
Kwanini usiweke hapahapa mkuu iwe faida na kwa wengine.....!!!

 
mkuu namm naku pm aisee barua zangu kadhaa ht majb tu cpat
 

Hivi hawa jamaa wameshaita kwa ajili ya interview, maana walisema wataita kuanzia Wiki hii
 
Sijui kwanini naamini kwamba bado hawajaita kwa ajili ya interview, imani yangu inanituma hivyo. (japokua naamini kutokuita huko hakuwezi ku-secure nafasi yangu au yako kuwepo kwenye list ya watakao itwa).
Mtoa mada aje atupe mrejesho, labda Mambo fresh kwake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…