MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,524
- 10,817
😂😂😂Tv gani? Kama ni ya chogo jaribu kuipiga kofi uangalie.
Ni flat hisenceTv gani? Kama ni ya chogo jaribu kuipiga kofi uangalie.
Flat hisence smart 4kNi aina gani, brand na ni izi flat au old model
Nimejaribu imekataa, nataka nijaribu Saa Saba usiku nione kama shida ni low voltageBrand gani?
Za kichina ama?
Jaribu kuzima kwenye socket na kuwasha tena.
Ok Asante mkuuTaa za kwenye screen zitakuwa zimeungua, ukimpata fundi anakubadilishia
Muda mwingine hua sio Taa , unakuta tu Kuna capacitor imeungua, Mimi natumia Hisense na tatizo Hilo limenitokea Mara 3 ndani ya miaka 5, hasa kipindi umeme unakatika na kurudi. Hapo ni kutafuta fundi mzuri tuTaa za kwenye screen zitakuwa zimeungua, ukimpata fundi anakubadilishia
Asante mkuu 🙏🙏Muda mwingine hua sio Taa , unakuta tu Kuna capacitor imeungua, Mimi natumia Hisense na tatizo Hilo limenitokea Mara 3 ndani ya miaka 5, hasa kipindi umeme unakatika na kurudi. Hapo ni kutafuta fundi mzuri tu
TV za Hisense zitakuwa ni majanga.Muda mwingine hua sio Taa , unakuta tu Kuna capacitor imeungua, Mimi natumia Hisense na tatizo Hilo limenitokea Mara 3 ndani ya miaka 5, hasa kipindi umeme unakatika na kurudi. Hapo ni kutafuta fundi mzuri tu
Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guardTV za Hisense zitakuwa ni majanga.
Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.
Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
Kiukweli Mimi situmiag tv guard, maana kipindi hiki umeme unaweza kuja mdogo Hata ukitumia tv guard tv haiwaki, Nikiwa bored naitoa tv guard niangalie nnachotaka.TV za Hisense zitakuwa ni majanga.
Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.
Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
Baada ya miaka 16 ndio nikaanza kutumia TV Guard!Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
Watu tu wabishi. Hisense me naona hamfikii TCL.TV za Hisense zitakuwa ni majanga.
Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.
Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.
Me mbona sina TV guard na mzigo wa TCL unapiga fresh?Hiyo TV yako ya Samsung ingekuwa Bora kama ingekuwa haina TV guard, halafu Kwa hii kata zima ya tanesco ikavumilia, maana hiyo hisence Imeungua lakini pia haina TV guard
Same... Hakuna cha stabilizer wala nini na remote nlipoteza so iko on tu ukiwasha socket inawaka na kuizima ni hvyo. Umeme uje ukate yenyewe inapaeta, upande ushuke inapeta yani ina zaidi ya miaka 8TV za Hisense zitakuwa ni majanga.
Ninatumia Samsung siijawahi kukumbana na tatizo lolote.
Kwasasa umeme umekuwa wa ajabu vifaa vyangu vya umeme nimeviwekea protection inaanzia kwenye TV/Fridge Guard inakwenda kwenye AVR.